everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
everlenk waonaje hii
1. DaveSave 2. Rafael 3. Rojo 4. Smelling 5. Jones 6. Carra 7. Devil Di Maria 8. Herrera 9. Roo 10. Mata 11. Young
(Fellaini Missing in Starting 11 lakini apatikane 2nd half - though LvG anavyomwamini sasa hivi nahisi Mata atawekwa nje)
Why Mata?
Napenda kuona link-up play ya hawa watu wanne Mata, Herrera, Carra na Di Maria. Nahisi hao watu wawili hapo Herrera na Mata kwa positional awareness yao na urahisi wao kujiposition wanaweza tengeneza link nzuri itakayosaidia ku-raise game ya Di Maria.....
Safu hii nayo ni nzuri ila wasiwasi wangu je wakianza wote Mata na Di Maria tutakuwa na Supersub ambayo itasaidia iwapo kutakuwa na udhaifu mahali? Mi naona mmoja awe ndani mwingine nje ili atakayeingia aweze kusahihisha penye makosa...
Tukumbuke pia BR amekuwa mzuri kwenye sub,katika mechi za hivi karibuni sub alizoweka nyingi zilimzalia matunda mazuri..... Kama ataanza Di Maria kwenye kukaba huko atahitaji kuwa makini sana asije kutucost maana kuna watengenezaji wazuri wa faulo.......
Last edited by a moderator:
