Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
ingawa hutaki kuja kumwaga pongezi kule lakini mie nakuja huku huku kukuringishia dooli dolii,hujamuona Tevez na mashuti yake,dooli doli..we endelea na Carrick wako lakini..dooli doli,Morata dooli doli..robo fainali..dooli doli!haya endelea na EPL yako!
Best nakuja kukupa hongera mkuu alafu nahamia huko huko kwako sasa ktk UEFA maana hawa waingereza tangu katolewa babalao Chelsea hawa wengine wanapigwa tu......