Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mie nataka tuone soka la uhakika kwa dakika zote 90 hata ikiwa 0-0 lakini soka liwe ni la mashambulizi ya huku na kule. Chelsea na So'ton ulikuwa mchezo mzuri sana huku kila timu ikinuia kutoka uwanjani ikiwa kidedea na hatimaye wapenzi wa soka kupata buudani moj nzuri sana wa dakika zote 90.

J2 EMT ni patashika nguo kuchanika...mtoto hatumwi dukani...nani ake juu ya mwenzake...lol.
 
Hivi ni leo? Headings za magazeti hapo kesho.

Arsenal pulls off one of the greatest comebacks in Champions League history.

Ila mie macho yangu nimeyaelekeza pale anfield Jumapili mchana.

Yeleuwiii na wewe upo!!!!!!! Mungu wangu nisaidie nitaweka wapi sura yangu?????
 
Mie nataka tuone soka la uhakika kwa dakika zote 90 hata ikiwa 0-0 lakini soka liwe ni la mashambulizi ya huku na kule. Chelsea na So'ton ulikuwa mchezo mzuri sana huku kila timu ikinuia kutoka uwanjani ikiwa kidedea na hatimaye wapenzi wa soka kupata buudani moj nzuri sana wa dakika zote 90.
Mkuu mpira utakua mzuri sn unaweza ukajikumbusha tu majuzi City alitia maguu hapo LFC ukapigwa mpira wa hali ya juu sn na J2 inaweza ikawa ni zaidi ya hapo kwasababu ni vita vya nani akae juu ya mwenzake.... everlenk hapa anajua umuhimu wa huu mchezo.....
 
Last edited by a moderator:
Kaka sisi wote si ni waingereza? Chelsea, man u, arsenal wote wale wale tu, achana na wafaransa wale...teh teh

Haki ya mama wafaransa wamenifanya vibaya mie lol. sina hamu nao lol.

Ni kweli kaka utafiti mimi leo niko na nyie lkn ukianza ma D D DDDD yako kwa everlenk nageuka fasta nakua mfaransa lol.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha hakuna mtu aliyebrainiwashiwa hapa kama Nzi alivyotendwa na Moyes mwaka jana. Liverpool watawa ovateki kama wewe na Nzi mnataka kupanda kidau njooni $100 itatumwa katika foundation yoyote ya choice yenu.
Pazi amepotea kinoma atakuwa anazivuta toka kwa bookies kila wikiendi, timu yao inakuja moto kama treni la kijapan

Red : Nipo tayari kwa hilo

Blue : Unaonaje atakayeshindwa bet hiyo hela hiyo aichangie Jamiiforums ?
Pazi Summer lazima afunge mkanda kwenda kwa bimkubwa , katengeneza hela nzuri sana kutoka kwa bookies ila jumapili akibet kaliwa lol

Lakini : Mkuu mbona Liver unawapigania mno kuliko timu yako ? Wewe utakuwa una jezi ya Liverpool kwako
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom