everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Hahahahaha lol! anapenda sana kufagiliwa huyu 🙂 mie wakifanya vizuri nawafagilia kila siku lakini kuna yule jamaa mmoja anaitwa Nzi ana usongo sana hata ukimfagilia bado tu anakuwa ana usongo lol!
Hahahaha!!! We hupendi kufagiliwa kwani, wewe mwenyewe unakuwaga mkali kweli ukiguswa, lol Nzi inabidi ajitutumue kuwapa madongo tu maana mmezidi kutusimanga sana lol, na nyie vipi Wacha 1 je? Kuna rubaman duh!! Ila watu kama hawa wacha wawepo ndo wananogesha jukwaa zaidi. Lol
Last edited by a moderator: