Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Asanteeee sana,upo best kitambo sana sijakuona ile mechi ya FA sikuona vicheko vyako humu.......lol

Chi unajua huu ni ntandao wa kimafioso chacha chiku hizi wakinishambulia na mimi nawapiga nsumari ikabidi waniweke kolokoloni lakini wapi nitakomaa nao tu .... ... . hasa yule Mungiki Brother
 
Yani kuna watu wana roho mbaya huwezi amini BAK ndio naamka sasa hivi na shukrani nyingi ziende kwa Ntuzu ndie aliyeniamsha usingizini.Yule aliyeahidi kunipitia kwenda kuangalia mechi hata kunibeep tu niamke ajafanya hivyo

Hivi mechi ni saa ngapi BAK?Ushindi nimeishauona wewe ondoa presha kushinda leo lazima.Nakusalimia jirani everlenk
 
Last edited by a moderator:

Bora umekuja dada yangu... BAK alikua hana raha hapa. Mi leo nakua Gunners kwa muda......ila utafiti aache fujo zake.....
 
Last edited by a moderator:
Mchapo unaanza 22.45pm EAT unaonekana una usingizi wa kutosha. Hongera zako.

Yani kuna watu wana roho mbaya huwezi amini BAK ndio naamka sasa hivi na shukrani nyingi ziende kwa Ntuzu ndie aliyeniamsha usingizini.Yule aliyeahidi kunipitia kwenda kuangalia mechi hata kunibeep tu niamke ajafanya hivyo

Hivi mechi ni saa ngapi BAK?Ushindi nimeishauona wewe ondoa presha kushinda leo lazima.Nakusalimia jirani everlenk
 
Hahahahahahaha lol!!! Mie sitii neno dada na kaka wanapotaniana...lol! ulishapiga hesabu ya ng'ombe hahahaha msukuma wewe unapenda sana kutajirika haraka haraka 🙂🙂. Ngamia huchukui? lol!

Kisimati una hirizi ya Kakakuona lol....joking you dada yng.... BAK kaniambia hivo lkn km angekua hajaniambia leo hii nilikua namdai ng'ombe lol.
 
Hahahahahahaha lol!!! Mie sitii neno dada na kaka wanapotaniana...lol! ulishapiga hesabu ya ng'ombe hahahaha msukuma wewe unapenda sana kutajirika haraka haraka 🙂🙂. Ngamia huchukui? lol!

Mkuu weka neno bhana.....huyu dada yangu itabidi nimtumie ktk timu yetu kule mpk kombe lije darajani....lol.

Utajiri muhimu mkuu tena km wewe ving'ombe mia vilikua vinatosha sn....Ngamia sichukui mkuu hao maziwa yao mazito sn km uji lol.....
 
lol! eti ving'ombe mia vinatosha 🙂🙂 unajua ngombe mmoja kiasi gani Mkuu!? halafu zidisha mara 100. Dakika zinayoyoma soon kipute kitaanza rasmi.

Hata ngamia tunapokea kama unataka kuleta jitokeze bado mapema uwekwe kwenye list.....😀
 
Kondoo je? Na mbuzi je? Na kuku je? lol! Mwenye ng'ombe na hawa wengine wenye ngamia, kondoo, mbuzi, kuku na bata nani atapewa priority? lol! Wasukuma kwa ng'ombe! wasio na ng'ombe watapigwa kibuti kikali.

Hata ngamia tunapokea kama unataka kuleta jitokeze bado mapema uwekwe kwenye list.....😀
 
lol! eti ving'ombe mia vinatosha 🙂🙂 unajua ngombe mmoja kiasi gani Mkuu!? halafu zidisha mara 100. Dakika zinayoyoma soon kipute kitaanza rasmi.

Kwani vingi na wewe BAK.....si unazidisha mara laki nane kwa bei ya Dar....

Yaaah, mkuu muda unayoyoma kweli bado dakika 30 tu hivi kipute kianze wapi mama mpenda kufagiliwa everlenk
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom