Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Dada naona umechukia sana kwa sisi kumchapa Swansea kwake hasa ukizingatia kuwa Swansea kakuchapa wewe home and away

Jumapili nakufirigisa vibaya sana,usikimbie online pls ehehehehe

Hahahahaha!!! Wala sijakasirika hata kidogo ingelikuwa ni uwezo wangu kila timu ingeshinda ili upinzani uwe mzuri,unamuona Ed hapo juu alikuwa anahofia sare nikamwambia asijali...

Kaka kwa kiwango cha leo point 3 sahau kutoka kwangu,naona mna hofu sana na hiyo J2 kiasi kwamba hamlali mkipanga na kupangua lol,kaka j2 ni bonge la match hakimbiii mtu hapa hata iweje......
 
Man United kama Manager sio Sir Alex Ferguson haiji maliza mbele yangu kwenye EPL milele

Jumapili nakudunda na ndiyo hunipati tena!LVG hana mbinu za kumzidi BR Anfield

Yahifadhi maneno haya utayakumbuka May
 
Jumapili naisubiri kwa hamu kuu, kwanza tunaanza kuwaangalia nyie na L'pool kisha tunahamia El Clasico. Natumai mechi zote mbili zitakuwa bomba sana kutupa raha wapenzi wote wa soka duniani tutakaobahatika kuziona mechi hizo.

Hahahahaha!!! Wala sijakasirika hata kidogo ingelikuwa ni uwezo wangu kila timu ingeshinda ili upinzani uwe mzuri,unamuona Ed hapo juu alikuwa anahofia sare nikamwambia asijali...

Kaka kwa kiwango cha leo point 3 sahau kutoka kwangu,naona mna hofu sana na hiyo J2 kiasi kwamba hamlali mkipanga na kupangua lol,kaka j2 ni bonge la match hakimbiii mtu hapa hata iweje......
 
Jumapili Rooney ataimaliza mechi mapema sana

Kipindi cha pili kitakuwa hakina maana tena , kama ilivyokuwa dhidi ya Spurs

Smalling kama kawaida atafanya washambuliaji wa Liver kuwa watazamaji kama alivyowafanyia Spurs
 
Malafyale Mr. Wise ebu pitieni huku muone maneno ya Carrick. Nafikiri mtajua kua J2 kz mtakua nayo kubwa maana ManU hawataki tena kupoteza......

Carrick: We have City in our sights

Manchester United midfielder Michael Carrick believes that there is no reason why his side cannot track down rivals Manchester City and take up second place in the Premier League.

Tuesday 17th March 2015

United are now only two points behind City after they beat Tottenham Hotspur 3-0 on Sunday.

However, even though City suffered a shock 1-0 defeat against Burnley on Saturday, United will have a tough time closing the gap as they play their crosstown rivals, as well as Liverpool and Chelsea in the coming weeks.

Carrick made it clear that United's road to conquering City's second place spot has to start with a win over Liverpool at Anfield on Sunday.

"We have got to aim for that," said Carrick. "We're within touching distance now. You look at the table now and it is so tight.

"But I suppose really we've just got to look to next Sunday. There are going to be ups and downs because that is how it is, especially in the last nine or 10 games. Sunday is a big game for a lot of reasons and that is probably all we can focus on at the moment."

Speaking about the game against Tottenham, Carrick said he is delighted to have scored a goal against his former club.

However, what made it that much more special was the fact that he netted a header, which is something he has not done for a long time.

"That's definitely my first headed goal for United and I can't remember getting one with Spurs or West Ham -- you probably have to go back to my youth team days since the last one," he said.

Carrick also feels that United played their best match all season long on Sunday.

"It was probably a big step for us in terms of the size of the game and to play like we did I think will give everyone a big boost and big shot of confidence," he said. "I think it has to be our best performance of the season given the importance of the game. It came together well today. We were a real threat going forward, we controlled the game well, and had a really good balance.

"We had a good tempo, we attacked with speed, and we had penetration when we did go forward, we kept the ball when we had to, and got the balance right really. All in all we can't be too picky, it was a good all-round performance."
 
Last edited by a moderator:

Mkuu kuna tofauti kubwa ya maneno na 90mins, I think a draw will be a better results for Man U on sunday. But vizuri tungojee iyo burudani jumapili.
 
Mie naombea sare ya 0-0 ila sijui kama dua la BAK linampata everlenk 🙂🙂 ili tuendelee kutesa kwa raha zetu pale juu yao.

Ukitaka dua limpate kirahisi everlenk mpk umfagilie......lol.!

Ila kiuukweli BAK ligi imekua taiti sn hasa kwa Man City, Arsenal na ManU na LFC. Hapa kuna vita sn.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha lol! anapenda sana kufagiliwa huyu 🙂 mie wakifanya vizuri nawafagilia kila siku lakini kuna yule jamaa mmoja anaitwa Nzi ana usongo sana hata ukimfagilia bado tu anakuwa ana usongo lol!

Hahhahhahah!!! Tatizo wewe huniombei baraka kabisa badala useme nishinde kabisa wewe unaniombea draw??? Anyway kama IPO IPO tu maana sasahivi inanibidi nijifunze kustand alone wote mnawafagilia LFC, na dua lako halinipati ng'o lol,

Niambie hapo badaye tunatokaje niandae leso ya kukufuta machozi au maua ya kukupongeza?

Nakuombea kila la heriiiiiiiii wawakilishi wetu wa ukweee........upige Monaco mpaka wazimie lol
 
Mwache huyo BAK hajui ,ila umefanya kosa kumwambia siri hii lol

Vita ni vita tu (in jaluo speech) mpaka dakika ya mwisho kitaeleweka,ila na wewe Ntuzu mjiangalie hapo mlipo msianguke tena......
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha lol!!! nitafutie yule Honey Faith mwambie aje mtaa huu haraka sana ili alete kismat chake tuweze kushinda leo kwa bao 4-0 na kuushangaza Ulimwengu wa wapenda soka duniani. Mie nakuombea banaa sasa hapo huoni nakufagilia utoe sare badala ya kufungwa? Chezeya mimi wewe!!! Ndio hapo dua langu litaanza kukupata utanitafuta mwenyewe na kuniomba samahani. "Nisamehe BAK hivi vipigo mfululizo vinaninyima usingizi hebu angalia tulikuwa namba 3 sasa tumeshuka hadi #8 within 3 weeks tu." hahahahahaa lol! nitakuwa najidai kwa raha zangu. Hebu nitafutie Honey Faith mwambie chonde chonde apitie mtaa huu kabla game haijaanza ili atie baraka zake.

Hahhahhahah!!! Tatizo wewe huniombei baraka kabisa badala useme nishinde kabisa wewe unaniombea draw??? Anyway kama IPO IPO tu maana sasahivi inanibidi nijifunze kustand alone wote mnawafagilia LFC, na dua lako halinipati ng'o lol,

Niambie hapo badaye tunatokaje niandae leso ya kukufuta machozi au maua ya kukupongeza?

Nakuombea kila la heriiiiiiiii wawakilishi wetu wa ukweee........upige Monaco mpaka wazimie lol
 
Last edited by a moderator:
Hayo ndio maneno, hata mimi sitegemei kazi nyepesi kabisa. Ila naona tuna kila dalili za kutokuruhusu record kuvunjwa tena tukiwa nyumbani

All the best mkuu, mi napenda tu kuona mnavokabana koo na huu utofauti wenu wa points mbili,moja na moja na moja....lol.
 
Hahahahaha lol! anapenda sana kufagiliwa huyu 🙂 mie wakifanya vizuri nawafagilia kila siku lakini kuna yule jamaa mmoja anaitwa Nzi ana usongo sana hata ukimfagilia bado tu anakuwa ana usongo lol!

Hahahaaaaaa mkuu yule mdudu Nzi zake majalalani kariakoo huko we unafikiri ataacha kua na usono.....lol.

Aiseee mbavu zangu mkuu unaziumiza sn......

Ila leo mkuu kz unayo ingawa Wenger naona akusudia kuushangaza ulimwengu tena.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom