everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Tots wehu hawa
Dada naona mgonjwa kanywa uji basi mategemeo kibao!Anfield nakuchapa kiurahisi sana
Aaah!!! Wapi my kaka next week utashangaa na roho yako, utanifanya siku hiyo nijivuruge kwaajili yako, lol...shindwa shetani!!!