LVG amegundua aliuziwa alikodishwa fahari gumba/tasa lisilozalisha DonDonald
De Gea lazima awachomoke tu...Real Madrid wanamtolea macho kinoma kama mrithi wa Casilas.
Here we go.....
Lol Reyes alikuwa anawatesa kina Neville brothers hadi wakakodisha viatu vya Salum Kabunda, na Godwin Aswille.Falcao ni bonge la flop zaidi ya waliotangulia kucheza EPLUnamsema Ozil au ???? au yule ambaye hajawahi kupata wa kumfananisha naye kwa kuwa flop Reyes? lol hata Shevchenko na Mateja Kazman walikuwa wanatupia tupia kidogo
Leo ni furaha tu