Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,913
- 10,263
Mtatokea mlango upi??
Mechi za nyumbani zote ni ushindi
Mtatokea mlango upi??
Mtatokea mlango upi??
Man city????
Arsenal????
Man city????
Arsenal????
Mkuu leo unajifariji
Arsenal hatupi wasiwasi katika mechi zote zilizobaki....ushindi wenu wa juzi siyo kigezo cha kufanya uanze kujitutumua mbele ya United....
Arsenal ni tawi letu la kudumu,perfomance yetu na Chelsea,Liverpool,Arsenal,ManCity ni nzuri
Piga hao wauza kashata khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee wanafikiri EPL ni chandimu nachubiri kwa hamu nimuone Gary Lineker ... .... ... khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Aliondoka EPL sababu alikuwa mtoto wa mama wa kulilia kurudi nyumbani kabla jua halijazama.Kina Neville hawakusababisha kuondoka leaked.Dogo alikuwa kama Lunyamila sema unyoronyoro ndo uliomlostishaReyes alikimbia EPL kwa sababu ya Gary Neville