Wale wachunguliaji hawaji tena huku.
Wachunguliaji tupo...
Lol Reyes alikuwa anawatesa kina Neville brothers hadi wakakodisha viatu vya Salum Kabunda, na Godwin Aswille.Falcao ni bonge la flop zaidi ya waliotangulia kucheza EPL
Safi sana.
Baiskeli ya mbao hii.Subirini mfike mwishoni mwa mteremko
Hii ni salamu kwa Liverpool
Tunakuja kufanya ubaya mmoja mkubwa sana Anfield
Ha ha ha ha ha ha....