Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Kama siyo Welbeck, mpira ungeisha 1-1!!!
Kama sio Antonio Valencia Shabaranks asingeleta msiba OT......
Kama siyo Welbeck, mpira ungeisha 1-1!!!
Kama sio Antonio Valencia Shabaranks asingeleta msiba OT......
Wanakwambia eti alijifunza makosa yake, ndiyo maana kwa Di Maria hata hakufikiria mara mbili kutoa kadi!
Aya mamitooo, mi nasubiri zamu yangu kesho kwa PSG.......
Tatzo la lvg anajifanya mjuaji saaaana, blunder substitutions imemcost kwa mara nyingine
malalamiko klabuni
Ahhhh!!! Tuweke ushabiki pembeni jana wala hamkucheza ajabu sana ilikuwa kawaida nilitegemea ile red mngetunywesha mvua ya mabao si mchezo maana tayari wachezaji wetu walikuwa wameshapanik kukawa no gud communication.
Garasa kawaida kuonyesha respect magarasa yen mangapi yanawatesa hadi mwayaita Yuda Iskariote, juzi na Monaco garasa lenu moja liliwaliza.
Game nyingi sana team selection na sub za LVG ndio zinasababisha tunafungwa,game ambayo unatakiwa ushinde kwa nini unampanga Fellaini no 10 unamuacha Mata.Beki yetu inajulikana ni mbovu so tunapaswa kuwa tunatengeneza nafasi na kufunga magoli mengi,EPL sio michuano umefungwa kocha umekaa jukwaani.Kocha anaboa sana
Usisahau na sisi tulipoteza chance ngapiMmmmmmmmmh mamito km si Di Gea ubao ulikua unasomeka ManU 1 Arsenal 4.
Sitaki kusema sn mamito kwasababu leo unahitaji faraja......
nimekuelewa mkuuKwa kufanya wakaanga sumu kujaa kwenye hili Jukwaa kutukejeli
Umenielewa????
thats a no-brainer......
Akibadili falsafa yake..... falsafa yake inaua vipaji vya vijana cheki sometime Di Maria anavyotia huruma anaonekana si lolote,Falcao,Mata wanaonekana kama wachovu tu.....
kitu kilichonishangaza zaidi ni kwamba wakati lvg na falcao wote wazima alikuwa anafanya kosa la kulazimisha kuwapanga wote matokeo yake rooney akawa anampanga kama wing au kama midle leo hii rvp mgonjwa nikajua itakuwa nafuu kwake hatoumiza kichwa coz ana selection moja tu matokeo yake anamweka sub na hamtumii. Yaani kila nikifikiria sipati kumwelewa point yake ni nini hasaAlikosea sn Van Gaal kumtoa Danny, sijui sababu ilikua ni kumleta Falcao? au alimtoa kutona na rangi yake? nakumbuka hapo nyuma wakati wa Babu Alex alikua akiwapanga hapo mbele Danny an Robin van Magoli walikua wanasumbua sn maan huyu Shabbaranks ni mkukurukaji kishenzi alafu akipata mipira anamuachia Van Magoli basi inakua ni kutupia tu. na baadhi ya michezo alikua anampanga Rooney, van magili na Danny, ilikua ni shidraaaaa mkuu.
Van Gaal anapaswa ajitathimini upya mpk sasaivi maana hili kombe km msingetolewa na mngelipata lingeleta hali fulani kwa timu na kuongeza moyo wa timu uliopotea.
kitu kilichonishangaza zaidi ni kwamba wakati lvg na falcao wote wazima alikuwa anafanya kosa la kulazimisha kuwapanga wote matokeo yake rooney akawa anampanga kama wing au kama midle leo hii rvp mgonjwa nikajua itakuwa nafuu kwake hatoumiza kichwa coz ana selection moja tu matokeo yake anamweka sub na hamtumii. Yaani kila nikifikiria sipati kumwelewa point yake ni nini hasa
philosophy.....
What philosophy,*** philosophy.
ha ha ha ha....whatever LVG means by this word 'philosophy' it doesnt work!!!!!