Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wenyeji wa mtaa huu poleni sana
Mkuu Nzi angalia kikosi chako mstari wa mabeki haupo sawa
 
Last edited by a moderator:
Vipi manure matokeo yenu bado?d welbeck duuu MANGILI FC level yenu ni aston villa.
 
Shabaranks (Danny Welbeck) ameleta kilio kwenu. jamaa alifurahi sn alivofunga ata Di Gea aliumia sn baada ya jamaa kufunga.

Anyway ndio mambo mkuu.

huyu dogo alivyouzwa iliniuma sana....kwani pamoja na kuwa uwezo wake ni limited ila ana juhudi,akicheza mechi yoyote lazima mabeki wawe roho juu tu na alichokifanya jana ni funzo kwa LVG....wachezaji kama hawa hatuuziana wapinzani unawapeleka sundeland au stoke city huko!!!!
 
Akibadili falsafa yake..... falsafa yake inaua vipaji vya vijana cheki sometime Di Maria anavyotia huruma anaonekana si lolote,Falcao,Mata wanaonekana kama wachovu tu.....

malalamiko yote klabuni
 
huyu dogo alivyouzwa iliniuma sana....kwani pamoja na kuwa uwezo wake ni limited ila ana juhudi,akicheza mechi yoyote lazima mabeki wawe roho juu tu na alichokifanya jana ni funzo kwa LVG....wachezaji kama hawa hatuuziana wapinzani unawapeleka sundeland au stoke city huko!!!!

Alikosea sn Van Gaal kumtoa Danny, sijui sababu ilikua ni kumleta Falcao? au alimtoa kutona na rangi yake? nakumbuka hapo nyuma wakati wa Babu Alex alikua akiwapanga hapo mbele Danny an Robin van Magoli walikua wanasumbua sn maan huyu Shabbaranks ni mkukurukaji kishenzi alafu akipata mipira anamuachia Van Magoli basi inakua ni kutupia tu. na baadhi ya michezo alikua anampanga Rooney, van magili na Danny, ilikua ni shidraaaaa mkuu.

Van Gaal anapaswa ajitathimini upya mpk sasaivi maana hili kombe km msingetolewa na mngelipata lingeleta hali fulani kwa timu na kuongeza moyo wa timu uliopotea.
 
huyu LVG ni clueless!!!!

Sikupenda jana alivompanga Fellaini namba kumi badala ya kumuweka kati ktk nafasi aliyoizoea ikabidi wakati mwingine analazimika kushuka chini kina Blind walipozidiwa. Alafu mtu km Young mpira wake umeshuka sn sijui kwanini alimpanga au kwa sababu ya goli lile la bahati pale St james Park?
 
kwangu mimi binafsi LVG hana clue!! unamchezesha vipi Fellaini namba kumi??? MATA yuko wapi?? tena unacheza na Arsenal ambao list yao ilionyesha wazi wanataka kucheza kwa speed kubwa!!! Fellaini mzito kama tractor labda tungekuwa tunacheza na stoke city.....pale mbele angemweka rooney 10 then falcao 9 anamalizia, au rooney 9 then Mata acheze 10 lakini yeye kamng'ang'ania Fellaini tu mwanzo mwisho ingawa ana yellow card na anacheza foul kila dakika!!!
 
malalamiko yote humu

complaints congrats advice
 
compalaints congrats advice
 
Back
Top Bottom