sawa naaacha mipasho
umeona ratiba lakini?
Hata sina nguvu za kuchangia chochote hapa. Tukishinda weekend itakuwa faraja sana kwetu.
Aiseee!!! Pole sana tuangalie yajayo tu labda LVG kwa mechi ya jana atakuwa amejifunza kitu, jpili Barcelona na Simba walinipa raha jana raha yote ikayeyuka kama barafu ila sasa nimeshakubali tuamini tu tunaweza.......
Hata sina nguvu za kuchangia chochote hapa. Tukishinda weekend itakuwa faraja sana kwetu.
Mkuu pole sana jipe moyo, changia tu kwenye mapungufu uliyoyaona so far.
''Wangekutana na mwalimu mwenye falsafa inayoeleweka''!!!! Una maanisha mwalimu na kocha mwenye falsafa inayoeleweka the Professor Arsene Wenger?
Mtani everlenk sijui nikwambiaje .... Ila anyway pole ingawa najua ushapoa maana simba walifanya yao 😉😉😉
Hahahaha!!! Acha tu nilitegemea jana ningeendeleza cheko lakini wapi!! Ndo soka mtani nashukuru hata kwa kuja hapa kunipoza moyo maana jana nilikuona mitaa flani unashangilia ile mbaya nilipofungwa, 😀😀

Ha ha ha ha ha.Hahahaha!!!! Wewe ni Arsenal siyo?? Uuuuu huyo babu ni matatizo zaidi ya LVG ila kuna wakati akiamua huwa anapatia game, sasahivi mmetulizwa kelele za Wenger Out kimya kabisa!!!!!!!!!!
Hata sina nguvu za kuchangia chochote hapa. Tukishinda weekend itakuwa faraja sana kwetu.
Siku hizi nipo bize sana hadi nashindwa kuangalia mechi. Jana nimeangalia matokeo hadi hasira
Frankly speaking Mimi huyu refa hapa hakunifurahisha hata yellow haikutoka then kwa Di Maria akatoa ya pili.......