RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,800
- 129,638
thats a no-brainer......
Ntuzu unaona mashabiki wa man utd tulivyo??! hamna anaelialia na refa hapa!! tunadiscuss sisi wenyewe tumeharibu wapi, ila ingekuwa hii mechi tumeshinda ungesikia wapinzani wetu ambavyo wangekuwa wanaongelea makosa ya refa tu!!
umeonewa wapi na refa
teh teh teh
kifo hakikosi sababu
malalamiko yote humu
https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/]compaints congrats advice[/url]
dude are you retarded??!!! wapi nimesema refa katuonea??!!
Ntuzu unaona mashabiki wa man utd tulivyo??! hamna anaelialia na refa hapa!! tunadiscuss sisi wenyewe tumeharibu wapi, ila ingekuwa hii mechi tumeshinda ungesikia wapinzani wetu ambavyo wangekuwa wanaongelea makosa ya refa tu!!
Aisee kumbe ukichambua kazi yako iko vipi umeweza wapi na umeshindwa wapi ni malalamiko? kama ni hivyo basi JF watakuwa na kazi sana hadi wanapokea complains za vilabu vya mpira ama!!!........ We shukuru Mungu tu jana mmetuotea sijui mngejiua wangapi kama tungeshinda???
refa umemtaja hapa
hapa sio sehemu ya malalamiko
Bring back our Moyes "the real choosen One."
teh teh teh teh teh teh teh.
Ntuzu unaona mashabiki wa man utd tulivyo??! hamna anaelialia na refa hapa!! tunadiscuss sisi wenyewe tumeharibu wapi, ila ingekuwa hii mechi tumeshinda ungesikia wapinzani wetu ambavyo wangekuwa wanaongelea makosa ya refa tu!!
hapana wewe ndio ushukuru mungu mabeki zako hawajakuchoma sana
teh teh teh
danny welbenga
haya sasa malalamiko klabuni
Ahhhh!!! Tuweke ushabiki pembeni jana wala hamkucheza ajabu sana ilikuwa kawaida nilitegemea ile red mngetunywesha mvua ya mabao si mchezo maana tayari wachezaji wetu walikuwa wameshapanik kukawa no gud communication.
Garasa kawaida kuonyesha respect magarasa yen mangapi yanawatesa hadi mwayaita Yuda Iskariote, juzi na Monaco garasa lenu moja liliwaliza.
Wenyeji wa mtaa huu poleni sana
Mkuu Nzi angalia kikosi chako mstari wa mabeki haupo sawa
Ntuzu unaona mashabiki wa man utd tulivyo??! hamna anaelialia na refa hapa!! tunadiscuss sisi wenyewe tumeharibu wapi, ila ingekuwa hii mechi tumeshinda ungesikia wapinzani wetu ambavyo wangekuwa wanaongelea makosa ya refa tu!!
Ni kweli mkuu mnachambua vzr lkn hakuna sasababu ya kulia na mwaamuzi ktk hili maana alifanya kz yake vzr. Ni kweli timu zingine hua zinalia sn na waamuzi ata sisi pia hufanya hivo lkn ni kwasababu maalumu.
Mmmmmmmmmh mamito km si Di Gea ubao ulikua unasomeka ManU 1 Arsenal 4.
Sitaki kusema sn mamito kwasababu leo unahitaji faraja......
Frankly speaking Mimi huyu refa hapa hakunifurahisha hata yellow haikutoka then kwa Di Maria akatoa ya pili.......
Mmmmmmmmmh mamito km si Di Gea ubao ulikua unasomeka ManU 1 Arsenal 4.
Sitaki kusema sn mamito kwasababu leo unahitaji faraja......
Walishambulia na sisi tulishambulia jana ingetoka draw na washukuru sub mbovu ya mapema ya LVG, ongea tu babito sisi huwa hatujinyongi,lol