Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ngoja tusubirie Draw ya Semi-finals siye ambao bado tupo kwenye hii tie!!!!
 
Refa alikuwa fair tu michezaji inacheza uyadhani imekula urojo mingine inajiangusha tu bila sababu pumbavu lvg out leta kocha mwingine
 
everlenk
Pole sana na ndiyo soka na kikubwa zaidi utambue kuwa soka la sasa halina historia bali weledi wa uwanjani kwa wakati uliopo!

Blind,Herera na Fellain ndiyo mido zako za kukuvusha kucheza semi final ya FA?This is more than a joke dada yangu
 
Last edited by a moderator:
leo aliyetufungsha ni lvg kwa kufanya sub kipind cha pili ambazo hazikuwa na haja hata kdogo kumuingza jones na carick wakati mchezo tumeutawala.
 
ila tumesajili bonge la kocha, hatuna wasiwasi.

kocha yupi mkuu? tunahitaji kocha mwenye uchu wa ushindi kama Simeoni, Gardiola au the special one. LVG anachosha anaona gemu imetuelemea bado hafanyi sub nzuri.
 
Sub za LvG ndo zilizotugharimu japo refa naye kazingua kwenye red card ya Di Maria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…