Usiseme unafanya hivyo kwa ajili ya uoga?
Kuku wako hutakiwi kumshikia manati msubili jioni lazima atarudi bandani
Siwaogopi ila basi tu.....game linavyoenda ni presha tupu.
Duh!! HT leo imekuwa kama dakika 5 nilitamani hata ziongezwe kama dakika nyingine 10 hivi.
Kuna watu lazima wapo humu kama guests ... wanasubili "kama ikitokea" Utd wakifungwa wa login kuanza kubwabwaja
Btw hicho kitu hakiwezi kutokea
Hii game ya Man UTD.Hii game ni kali jooo..