Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yeah, angalia investment history yao ilivyokuwa (Mark Hughes to Mancini-City na Ranieri to Mourinho-Chelsea)Nyie mmeinvest mainly kurudi ECL kuokoa jina na pesa mnazozikosa kwa kutoshiriki(Granted Man Utd ni top 2 rich Club kulinganisha na Chelsea & City) na bado mnaweweseka.

Aiseeee!!! Kumbe!!! Hata mtoto mdogo asiyejua soka hawezi fikiri hili......
 
10987323_339082302952913_2007532325050097257_n.jpg
pole sana jirani angu..
 
lol! Hahahahahaha tukishawachapa 2-0 hiyo March 7, 2015 mie sitii neno maana najua humu mtakavyonuna 🙂🙂 nitapita kuwafariji watani zangu maana wengine humu huwa wananuna kupita kiasi ukikatiza jirani yao wanaweza kabisa kukurushia tindikali Khe Khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee

Kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee wewe paka rangi uwezavyo ila jua next mwenye nafasi yake anakuja kuichukua,wiki hii uwanja ni wako,ai mimi huyo wa kununa.... ah wapi!! Siku utakayonifunga ujue ndo nitanuna.
 
Nyie endeleeni kuchungulia darubini ndani ya maabara ili kutafuta combination ipi itakayowafaa kuwapatia tiba for the remainder of this season wakati wengine tunafanya yetu taratibu, mkijastuka tuko May, 2015 mmeshikilia nafasi ya 9 with 2 games to go.

Hamna msiba hapa bwana tulikuwa maabara kidogo tukiangalia ile system kama ina fit,hii imeshatupa jibu kwamba haifiti,Lol
 
Tofauti kati ya LVG na Man City na Chelsea ni kuwa wenzake walitumia pesa nyingi kugombania ubingwa yeye anatumia pesa nyingi kurudi ECL ambayo na yenyewe hadi sasa kuna uwezekano Man United wakaikosa. Arsenal tulijiwekea lengo(baada ya kujenga Emirates) la kuwa ndani ya ECL huku tukinunua magarasa, kitu ambacho tuliweza kukifanya. Hivi sasa tuna uwezo wa kununua wachezaji wa bei mbaya (kidogokidogo) tunarudi juu na maybe tutagombania ubingwa miaka michache ijayo.
rubaman nafahamu wewe ni mshabiki wa Arsenal na unaichukia Man United kwa sababu gani na wala sio kwa kufungwa leo na Swansie maana hata Arsenal alichezea kichapo kama hicho mwezi Disemba tu mwaka jana.
 
Last edited by a moderator:
rubaman nafahamu wewe ni mshabiki wa Arsenal na unaichukia Man United kwa sababu gani na wala sio kwa kufungwa leo na Swansie maana hata Arsenal alichezea kichapo kama hicho mwezi Disemba tu mwaka jana.

Ni mambo ya Soka. Ni friendly-sportsmanship banter na kuelemishana ndani ya JF. Usichukulie personal mkuu
 
WHAT EXACTLY IS VAN GAAL'S PHILOSOPHY
--> I am going to start by saying, I'm not surprised that we lost yesterday. Looking at how United have been playing this season, it was only a matter of WHEN and not IF we lose a game. But that loss had me thinking, what exactly is Van Gaal's philosophy; the word that he cant fail to mention in every press conference. LvG has used 6 different formations, 31 different players and long balls to Fellaini as a Plan B. 8 months into the job, he still doesn't know his strongest/preferred Starting XI nor does he know what is our best formation, neither does he know the best playing position for some of our key players. So what exactly is going on at Man United?
--> As recently as last April, the suggestions were that Van Gaal was wedded to the Dutch system of 4-3-3. Yet he has used six shapes at United, but never 4-3-3. Or, for that matter, the regulation 4-4-2 he deployed in 23 successive games when Bayern Munich won the Bundesliga on his watch. He has a reputation as a serial winner but so far he has been out-performed, and yesterday he was outwitted by Swansea's Gary Monk. He appears to like quick players but has selected some slow sides. Fellaini starting as a No.10 was the most baffling of selections. A No.10 is a creative playmaker who links up the attacking play between the midfield and strikers. Fellaini has never been a playmaker. He is too slow in the build up play and is passing is atrocious. Mata; who was Chelsea's Player Of The Year for 2 seasons in a row and is a natural No.10, was left unused in yesterday's defeat. And Van Gaal's experimentation with the tactics and team selection are not making things any easier. Valencia, Smalling and Young all put up good performances against Preston but surprisingly they were all dropped in yesterday's game.
--> LvG is a supposed apostle of passing football but the only philosophy evident in United's style of play is meaningless possession or rather keeping possession for possession's sake. Indeed, top teams across all European leagues play a possession based style of football. But the difference between a PSG/Barcelona/Bayern Munich is that their possession style football is accompanied with a high pressing and high tempo game with short, crisp passing that breaks down even the most stubborn and toughest of defences. On the contrary, United are dull, lethargic, slow and seem to be content with passing the ball backwards and sideways with our defenders and goalkeeper having more time on the ball than our forward attacking players.
--> Finally, I'd like to finish by saying that I am more of a realist than an optimist and judging from our performances thus far, I'm fearful that we are not going to make the Top 4. We have a tough run of fixtures coming up. From March 15 - April 26 (just 5 weeks), United will play 6 of the teams that finished in the Top 6 last season (Spurs, Liverpool, Chelsea, Man City, Everton and Arsenal). Here is a more sobering STAT. In the past 5 consecutive seasons, the team that has finished 4th finished with 79, 73, 69, 68 and 70 points. We have 12 games remaining; a total of 36 points. We must get a minimum of 70 points total if we are to finish in the Top 4. That means from our 12 remaining games, we have to get at least 23 out of 36 points. (Damian Maina)

10998394_339898976204579_2450600458760178433_n.jpg
 
Nilijua lazima mpigwe kama preston tu inabidi udive ili ushinde
na bado hapo hujarudiana na man city chelsea liverpool arsenal and of coz harry cane dah mtani unalo mwaka huu tafuteni kocha mchukueni hata yule howard webb awsogeze kidog
 
Mkifika hapo mtuite tuongee sa hv kazaneni kwanza kuna wana chelsea apo idad ya makombe yao hata nusu yetu haigik ila leo wanabonga kibabe. Aseno goli moja penat umepewa goli jingine offside bado unapayuka. Sieeeeelwiiii
 

Attachments

  • 1424598529413.jpg
    1424598529413.jpg
    14.5 KB · Views: 108
Mkifika hapo mtuite tuongee sa hv kazaneni kwanza kuna wana chelsea apo idad ya makombe yao hata nusu yetu haigik ila leo wanabonga kibabe. Aseno goli moja penat umepewa goli jingine offside bado unapayuka. Sieeeeelwiiii


MK Dons ... ..... .... ..khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Ndugu zanguni hapa mpo kwema?
Zimebaki points 2 tu na habari ziwafikie na maandiko kama yatimie kama yaliyoandikwa kwenye vitabu vitakatifu!

Wewe na Arsenal mtagombea nafasi ya 4.mm nakutoa hapo
 
10993393_340245799503230_7535971431209805715_n.jpg


Ander Herrera: 6 starts - 6 goals - 5 assists
For a player who Van Gaal kept out during those crucial months of December & January & part of Feb; he's turned out the world class player we all knew he was. Can somebody tell LvG to play Mata, and avoid making the same mistake twice? #GGMU
 
Back
Top Bottom