Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Mkuu, mbona yule mtoto aliyetoka Liverpool umemsahau?
Huyu mkuu ...
Mkuu, mbona yule mtoto aliyetoka Liverpool umemsahau?
Dah! Watu wanavyomwaga shudu humu....bahati yenu leo sina nguvu, nimekuwa mdogo kama piriton..hivyo mwageni tu shudu ili jukwaa lisitawi.
Dah! Watu wanavyomwaga shudu humu....bahati yenu leo sina nguvu, nimekuwa mdogo kama piriton..hivyo mwageni tu shudu ili jukwaa lisitawi.
My goodness me! Ebu nitajie hao mliowapandisha toka reserve na kufanikiwa!!
United toka miaka ya 1930 hadi kesho, imekuwa ikitumia wachezaji kutoka kwenye youth system katika kila mechi. Hii ni rekodi ya United tu.
Dah! Watu wanavyomwaga shudu humu....bahati yenu leo sina nguvu, nimekuwa mdogo kama piriton..hivyo mwageni tu shudu ili jukwaa lisitawi.
Tupinge basi......ukishinda nakununulia kitimoto mzima pale banana, Lol
My goodness me! Ebu nitajie hao mliowapandisha toka reserve na kufanikiwa!!
United toka miaka ya 1930 hadi kesho, imekuwa ikitumia wachezaji kutoka kwenye youth system katika kila mechi. Hii ni rekodi ya United tu.
Ndiyo maana nakupenda weye always on the positive side hata kama umeshindwa bado hutalalama kama akina nanihii lol!!! Pole zako usisahau kuvunjika kwa koleo si mwisho wa uhunzi, ila huyu LVG abadilike au hatakuwa na maisha marefu kwa mwendo wake huu wa kusuasua na kutaka kufanya majaribio yasiyokuwa na kichwa wala miguu.
Dada yangu hapa kwema?
Ehehehehehehehe
duh! Philosophy wewe waijua? Ngoja tuendelee kuiona hii philosophy,huyu LVG Ameanza kuwa kama babu leo anatengeneza kesho anaharibu....lol,naona mnatusema tumekimbia jukwaa hatujakimbia bwana 8 MB kwa leo zinatutesa sana ngoja kesho tutaweka 200 MB Halafu tutajadili soka la leo.....Lol!! mmetuandama kama nini utafikiri si ndo wa kwanza kufungwa,embu tuacheni tupumzike kwanza.
Hapa ni Kwema kabisa kaka yangu,ni vijimambo tu vinakera kwelikwel lakini tunasonga mbele
Current, Szszseny, Coq, Bellarin, Gibbs, Zelalem, Martinez, Wilshire, Gnabry, Akpom, Sanogo. Nilitee waliopandishwa toka reserve yenu miaka 5 iliyopita hadi sasa (current members). Usilete class of 92
Una uhakika Man City na Chelsea zilipoanza kutumia hela nyingi zilikuwa na lengo la kugombania ubigwa??
Sanogo kumbe alipandishwa kutoka Youth system ya Goons?!? Na Zelalem aliyekaa kwenye youth system kwa mmoja; huku akikaa miaka 10 kwenye vilabu vingine unamwesabu?
Anyway, mimi nilitaka wachezaji waliofanikiwa! Sasa mbona hapo umeweka magalasa tu?!? Labda Gibbs kidogo naweza kumweka kwenye benchi la Fantasy team yangu...
Jipange tena...
Khe Khe Kheeeeeeee kheeeeeeeeee naona unakaribia kununa sasa lol!!!!! Ngoja nisepe zangu kabla ya kukutana na everlenk aliyenuna lol! Hahahahaha nitajuta kukufahamu 🙂🙂 usiku mwema na njozi tamu za kuibamiza Sunderland 6-0 Khe kheeeeeeeeeeeeee
Khe kheeeeeeee vijimambo vya Swansea vinakera kweli naona mmeamua kurudi msibani lol!!! Poleni.