Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,895
- 11,288
21 yrs old lkn anaumwa kila siku lol
Last edited by a moderator:
Ulipata baridi ngapi?
21 yrs old lkn anaumwa kila siku lol
Mkuu tushangilie basi Uropa ligi maana utasahau sasa kushangilia mechi za kimataifa usipo jikumbusha
Daaah hata mwaka huu Man U hawapati nafasi,team yenu bado sana kuiva
Dada everlenk piga moyo konde mnaweza rudi 2018
Ukija kwangu nakupiga
Nikiwa kwako au kwangu mimi ni kichapo tu ukijitahidi ni droo.
21 yrs old lkn anaumwa kila siku lol
Thubutu!
Liverpool ya Daniel haiwezi kukuacha
wadau wa soka Uingereza wanadai mechi hazina msisimko kutokana na timu kuingia uwanjani zilijua zinaweza kubahatisha droo ili zipate replay.
Kwa nini timu zinapenda replay?
Timu ndogo ili ziweze kupata mapato katika replays, lakini waweze kugamble pengine ushindi....
Uliona jinsi Cambridge Utd walivyofurahia replay OT?
At the end of the day the FA cup litakuwa ni kwajili ya timu ndogo, kubwa zikijikita zaidi kwenye makombe yenye pesa.
Tupinge basi......ukishinda nakununulia kitimoto mzima pale banana, Lol