Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Unaweza kuwaza kuwa kumbe kuna tofauti kubwa kuwa kocha wa timu ya Taifa na kocha wa Klabu.

Kumbe unaweza kumsifia mwalimu wa special school kwa kufaulisha wanafunzi wote daraja la kwanza ukamdharau mwalimu wa shule ya kata aliyefaulisha wanafunzi wote kwa Daraja la tatu.

Mwenye ufahamu atakuwa amenielewa, Van gaal bado si chaguo sahihi OT.
 
Bado naamini LvG ni meneja sahihi kwa United kwa sasa....

Timuatimua kutafanya timu isiwe stable kwa misimu mingi....ni heri tupitie haya masahibu tukielekea kwenye stability....
 
Kama ni uvumilivu basi Moyes alikuwa chaguo sahihi kuipeleka man u kuwa stability. Na hii naithibitisha kwa kuangalia alipoitoa Everton mpk alipoiacha. LVG amechemka EPL.
 
LVG ni mzuri akipewa timu ya Taifa. Combination ya mastaa wote wa dunia wakimbeba lazima ang'ae.
 
Kama ni uvumilivu basi Moyes alikuwa chaguo sahihi kuipeleka man u kuwa stability. Na hii naithibitisha kwa kuangalia alipoitoa Everton mpk alipoiacha. LVG amechemka EPL.

Kuondoka kwa DM kulikuwa hakuepukiki kutokana na wachezaji kutomwamini, haswa mbinu zake za ufundishaji na rekodi yake kama kocha....

LvG rekodi yake tu inawafanya wachezaji waufyate...na kocha wa namna hiyo ndiyo muhimu katika kuiweka timu iliyoyumba stable...haswa katika dunia ya soka linaloendeshwa na fedha...
 
Mid-week games zinawaweka katika wakati mgumu msimu huu. Jaribuni angalau kumshangilia Evra(juventus) au shangilieni timu ya home (Manchester City) kama mlivyowashangilia walipobeba kombe May mwaka jana.
 
rubaman

Kwani FA Cup tunachezaga siku gani?

Hatua hii ndio itakuwa ni mwisho wenu kucheza CL....bila ya kusahau kitakachowatokea Old Trafford kwenye FA Cup
 
Last edited by a moderator:

Mechi itakuwa tarehe 9... Mwaka huu unaweza kuwa mwaka 2 mfululizo nyie kukosa UCL.Anyway, top 4 ipo tight kinoma, yeyote anaweza kuikosa nafasi ya UCL mwakani.
 
Tukikosa na mwaka huu itakuwa ni disaster

Ila nina matumaini ya kumaliza top four... ila LVG sometimes upangaji wake timu unatu cost
 
Huwa siwaelewagi wapenzi wa mpira. Upangaji na tactics zinakuwa mbaya pale timu inapofungwa au kutoa draw. Hutasikia mpenzi akilalamika timu inaposhinda kwa formations na tactics hizo hizo. Timu yenu labda haina wachezaji wazuri wanaofit philosophy za LVG?
 
Tatizo la utd katika kipindi cha miaka kama 6 ni lilikuwa kukosa creative midfielder. .. Wayne ni top player lakini sio ukimpanga namba 8... mpange namba 10.... katika viungo tulivyokuwa navyo kwa sasa Herrera ndio ana fit kitu tulichokuwa tunakikosa
 
Tatizo sio tukishinda hatulalamiki... ni je tuna shinda kwa namna gani au tunafungwa namna gani.... kuna mechi kibao Utd mpaka mwisho wa mechi Utd shot on target 2 tuu
 
Mnaposhinda huwa tunasikia kelele za kumshangilia Fellaini
 
Huyu mkuu ...
25EA229C00000578-2962915-image-a-135_1424537048637.jpg

Ee-waaa...mtoto ana balaa huyu..ai!
 
BAK na dada yangu everlenk na "wakiritimba" wa hapa RRONDO na Nzi

Jermie Defoe siyo mtu wa kumchekea hata kidogo!Haya mm nipo hapa na bado masaa tu

Wewe unatakiwa uhofie timu yako ambayo ina mechi kubwa! Sisi tukicheza OT huwa hatupati tabu away ndio issue
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom