Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

10856759_10152800236682746_3076820118847023698_o.jpg
 
Wewe unatakiwa uhofie timu yako ambayo ina mechi kubwa! Sisi tukicheza OT huwa hatupati tabu away ndio issue

Mhhh!
Swansea kakuchapa kote kaka home and away!
Man City hata kocha wao Pelle anajua anapoteza Anfield
 
Mhhh!
Swansea kakuchapa kote kaka home and away!
Man City hata kocha wao Pelle anajua anapoteza Anfield

Hata Southampton katufunga OT lakini rekodi yetu home ni one of the best,away form yetu ingekuwa nusu ya home tungekuwa top two!
 
visagold

Bado Carrick yupo kwenye mahesabu yenu na miaka yake 34 ehehehehehe!He's old as he's too old!

Mchukueni Jonjo atawasaidia sana
 
Last edited by a moderator:
visagold

Bado Carrick yupo kwenye mahesabu yenu na miaka yake 34 ehehehehehe!He's old as he's too old!

Mchukueni Jonjo atawasaidia sana

Simba ata akizeeka hageuki nyau, carrik ni mtambo yule we mwenyewe unamuelewa wazee wakina terry na bado wanapiga mzigo fainal kesho unadhani ni bure hio!!! Carrik shughul anaiiweza
 
Last edited by a moderator:
Naona mmejikunyata kona mnachungulia hamna imani na timu yenu. Mnasubiri mfunge goli ndo mje kushangilia sio? Nyie watu waoga kinoma. Come on Sunderland gongeni vichwa wasije kabisa humu.
DonDonald, Nzi, Belo, RRONDO, mfarisayo
 
Back
Top Bottom