Arsenal ni tawi letu la kudumu as long as agent wetu Wenger bado yupo
It's official, sasa tunakuja wachinja pale thetre of nightmare.
Kama Fainal ya 2005 vile, haaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaaa!
Mbona umebadilika ghafla,unapaswa ushangilie umeomba mwenyewe ukutane na United
Tunakuja Old Trafford kumfukuzisha kazi LVG.
Kumbe inawezekana kurudi reverse kwa kwenda mbele enhe??tulipokutana mara ya mwisho tulikuwa nafasi ya ngapi na nyinyi ya ngapi??Mtakula matapishi yenu haya mnayosema humu, Arsenal imesonga mbele toka mara ya mwisho tumekutana wakati nyie wenzetu mnarudi reverse.
Kwa hiyo fainali ya 2005 ilikuwa OT?
It's official, sasa tunakuja wachinja pale thetre of nightmare.
Kama Fainal ya 2005 vile, haaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaaa!
Waanze dua za kuomba majeruhi ya pande zote mbili, yaani waombe Arsenal wapate majeruhi na wao pia. Maana wao angalau wanajitahidi na ile "second 11" kuliko kikosi cha kwanza.
Sio mbaya kuwa na ndoto kama hiziTunakuja Old Trafford kumfukuzisha kazi LVG.
Tunakuja OT, ila matokeo yatakuwa mazuri kwa aliyeshinda mechi ya fainali 2005 Wembley! Hapo je!
Ander Herrera for Manchester United
Kaanza Mechi-5
Kafunga magoli-5
Katoa Assist-5o
Kumbe inawezekana kurudi reverse kwa kwenda mbele enhe??tulipokutana mara ya mwisho tulikuwa nafasi ya ngapi na nyinyi ya ngapi??
Waanze dua za kuomba majeruhi ya pande zote mbili, yaani waombe Arsenal wapate majeruhi na wao pia. Maana wao angalau wanajitahidi na ile "second 11" kuliko kikosi cha kwanza.