Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sylvain Wiltord alipigaga msumali kwenye jeneza lenu pale pale OT, kwa lugha nyingine tulikuwa tunatakiwa kupata point kadhaa kuwa mabingwa, tulichofanya tulienda tukautangazia OT kwa max point.

Kumbe! Aisee!

Mmekuwa wazee wa historia eh?

Uliona droo ya leo? United iliwakilishwa na namba 8, na Goons iliwakilishwa na namba 2.
 
Mkuu nilikuwa nakuweka katika top tier ya wanaojua na waliofuatilia EPL kwa muda mrefu. Hili swali linaonyesha umeingia dimbani baada ya kuanzishwa kwa Facebook. Tulibeba kombe la EPL baada ya kuwatungua goli 1-0 mfungaji Sylvan Wiltord mwaka 2001-02. Acha kusoma na kuamini gazeti la Sun, Daily Mail

Kumbe!! Doh! Chifu, hujui hata kusoma between the lines...

Basi mwenyewe, umejiona unajuuuua! 😂
 
Dakika ya 59 Ashley Young anaingia, Falcao anatoka.
 
Refa kashaanza kuvurunda. Rooney ali-block the line of sight ya GK. Shouldn't stood.
 
Refa kashaanza kuvurunda. Rooney ali-block the line of sight ya GK. Shouldn't stood.

Weka hiyo sheria ya FIFA hapa Goon!

Mchezaji kama hajagusa mpira hata kama yupo offside position, hakuna foul hapo goon!

Hakuna kipengele kinachosema juu ya kumblock kipa katika sheria ya offside.
 
Nzi

Nimeona, endapo mtashinda leo tunakuja kuwakalisha hapo kwenu! Manu hii ni mbofu mbofu tu, mlitufunga mechi ya kwanza EPL, wanasema one of those days.

FA cup hamtoki.

Tuombe tusiwe na majeruhi na nyie msiwe na majeruhi, ila naona kikosi chenu kinachocheza mnapokuwa na majeruhi msimu huu kinajitahidi kuliko kikosi cha sasa.
 
Last edited by a moderator:
Pundit wa BBC hapa eti anasema Fellaini alimwekea mikono beki...hivyo ni foul siyo goli halali!

Doh! Kuna watu ni #WakaangaSumu balaa...
 
Weka hiyo sheria ya FIFA hapa Goon!

Mchezaji kama hajagusa mpira hata kama yupo offside position, hakuna foul hapo goon!

Hakuna kipengele kinachosema juu ya kumblock kipa katika sheria ya offside.

Hicho kipengele kipo.Nitakutafutia siku moja
 
Back
Top Bottom