Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

EMT

Unaweza kuwa sahihi. Ila kwa soka la Uingereza, kombe la FA ni utamaduni....timu na wachezaji wanapenda kushinda kombe hilo kwani ndiyo mashindano makongwe kabisa ya soka duniani (of course, hapa nakua Eurocentric).

Sidhani kama pesa inaweza kuwa sababu....wadau wa soka Uingereza wanadai mechi hazina msisimko kutokana na timu kuingia uwanjani zilijua zinaweza kubahatisha droo ili zipate replay.

Anyway, huo ni mtazamo mmoja tu..
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
10985367_10152778848672746_7238988786873598780_n.jpg
 
Hongereni Nzi na RRONDO!
Ingawaje refa kafanya yake lkn ushindi ni ushindi

Hongereni kwa kuvuka
 
Last edited by a moderator:
Preston iliyovitoa eti vigogo vya soka mbona kwa Man U mboga tu. Sasa Wenger siku zake FA zinahesabika, Emirates ni majonzi tupu baada ya kupata matokeo.
 
Acha kukariri, hii ni knock out stages! Sio ligi. Na pia ligi yenyewe mechi ya mwisho mlioshinda ndo basi.

Kila siku mnasema hivyo hivyo ila mwisho wa siku huwa mnaishia kumtukana mzee Wenger...sisi hatuchagui,ligi,fa,Carling,ecl kotr tunakutandika na usitake niweke stats hapa!
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Nzi

Yaani ni kosa kubwa Sana mshabiki wa arsenal kujaribu kufananisha man utd na timu yao...kwa kipi? Makombe tumewazidi head to head hata hawakumbuki link Mara ya mwisho walishinda sasa wanalinganisha kwa kipi? Hata the worst man utd time of all time imewafunga Mara mbili bila majibu!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Nzi
Ngongo

Hii maneno nilisema tangu tarehe 09/02/2015 kwamba Ander Herrera ni mchezaji wa kiwango cha juu sana sijui ni kwanini LVG anapenda kumweka bench pasipo sababu za msingi.

Juzi nilimsikia akibwabwaja anatafuta kiungo creative wakati tayari yupo kwenye timu kama si bangi nini jana Herrera kacheza vizuri sana kiasi nikabaki na maswali ni kwanini anawekwa bench?.
 
Last edited by a moderator:
Baada ya ushindi huu mnono ni dhahiri ya kuwa f.a cup tunachukua. Sioni jinsi Arsenal atakavyochomoa hapo Old Trafford. Liverpool wachovu kwahiyo mwendo mdundo!
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Back
Top Bottom