March 7 /March 8 mjae hapa kama mlivyojaa leo. Siku hiyo mtamwona LVG ni less than Moyes.
Naona umeshaanza kutafuta kisingizio cha majeruhi
March 7 /March 8 mjae hapa kama mlivyojaa leo. Siku hiyo mtamwona LVG ni less than Moyes.
Nimekuwa mkweli, timu yenu ya second 11 ni nzuri zaidi, hii ya sasa sioni mtatufungia wapi na kikosi tulichonacho sasa!! Na pale juu kwenye EPL ile nafasi tutawatoa, tena ikiwezekana tutakuja watolea pale pale kwenu TENA.

Hata Moyes "The Chosen One" alimfunga Wenger
Wale waliowapa kichapo Emirates ndio tutawapanga waendeleze rekodi
Arsenal wasubiri kuwa kabidhi kombe Mancherter United.
Mbuzi akimuona chatu yeye mwenyewe anajipeleka.
Cheers!
Kwa sasa hakuna haja ya kucheza na striker wawili kama tuna viungo wafungaji (Herrera,Blind,Fellaini,Mata,Rooney) still bado hatutengenezi nafasi kwa strikers wetu na inaonekana kabisa LVG hatamsajili Falcao
Acha kumdharau Moyes, aliwakung'utaga tena vizuri kabisa pale Goodison park mara kadhaa. Moyes ni Kocha mzuri. .
Alipewa timu yenye misukule iliyokuwa inasubiri kucheza na kukamia mechi ya Arsenal tu kama kwamba walikuwa wanafukuzwa kazi kama wakifungwa na Arsenal. Alitufunga, okei, ligi ilivyoisha nyie mlikuwa wapi na sisi wapi?.
Namba yake uwa ipi?Huyu ananyumbulifiwa, mpaka kasahau namba yake.
Arsenal's record vs. Manchester United since 2009:
Lose
Lose
Draw
Lose
Lose
Lose
Lose
Win
Lose
Lose
Lose
Draw
Lose
Draw
Lose
Namba yake uwa ipi?