DonDonald
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,542
- 2,741
Dah truegooner unayosema yanatoka moyoni?
Last edited by a moderator:
Pundit wa BBC hapa eti anasema Fellaini alimwekea mikono beki...hivyo ni foul siyo goli halali!
Doh! Kuna watu ni #WakaangaSumu balaa...
Pia Rooney alikuwa offside, ingawa hajagusa mpira ila alimziba kipa kiasi fulani.
Hicho kipengele kipo.Nitakutafutia siku moja
C....r....a....p í-½í²©í-½í²©í-½í²©
Weka kipengele cha sheria ya offside kinachosema hivyo goon...
Endelea kutoa updates chifu....
Dah truegooner unayosema yanatoka moyoni?
Refa kashaanza kuvurunda. Rooney ali-block the line of sight ya GK. Shouldn't stood.
Nimeona, endapo mtashinda leo tunakuja kuwakalisha hapo kwenu! Manu hii ni mbofu mbofu tu, mlitufunga mechi ya kwanza EPL, wanasema one of those days. FA cup hamtoki. Tuombe tusiwe na majeruhi na nyie msiwe na majeruhi, ila naona kikosi chenu kinachocheza mnapokuwa na majeruhi msimu huu kinajitahidi kuliko kikosi cha sasa.
Tumemaliza mission