lonewolf ranger
JF-Expert Member
- Feb 22, 2013
- 476
- 149
Uyu mshikaji atakua na kismart na lvg
kismarti eti!hahahaa!
mkuu ka unacheck game update kiaina!
Uyu mshikaji atakua na kismart na lvg
man u mmekata tamaa aisee njooni emirates a.k.a Alexis Sanchez
kismarti eti!hahahaa!
mkuu ka unacheck game update kiaina!
Aisee..huyu LvG ni kwanini bado anataka kumtumia Di Maria katika forward?
hivi TATIZO la Man U ni kocha au ni wachezaji?
tujadiliane kwa vituo bila jazba.
Tatizo ni kocha anashindwa kuwapanga ipasavyo, mshambuliaji anachezeshwa kama kiungo na kiungo ndo anakuwa mshambuliaji
suluhisho ni nini? afukuzwe?