RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,308
- 134,755
wakuu sijaingia humu tangu tufungwe na southampton....kwa kifupi LVG ananiboa maanake wala simuelewi anachokifanya.
sasa anamng'ang'ania RVP wakati FALCAO anaoneka kabisa ana uwezo kuliko RVP!!! ana mpanga Rooney as a midfielder na Di Maria as a striker why??? kwanini asimpange rooney as a striker na di maria midfielder??! na tusisahau ana timu nzuri kuliko DM