You are an impossiblehour case .you Kwa hiyo Arsenal tunavyolalamikiaga jinsi marefa wanavyosababisha tufungwe (dhahiri)haihesabiki kuwa ni kisingizio au hii rule ina apply kwenu tu?
Asante sana Ntuzu yaani kuanzia jana mpaka leo ilikuwa ni siku ngumu sana kwangu,atleast now niko fit hope hasira zote kwa QPR.
Tunampigia mahesabu QPR sasa...
Yule Charlie Austin akiwa pale kwake anakuwa mtu mbaya sana!Nendeni kwa tahadhali sana la sivyo Moyes ataonekana genious kwa LVG
Kumbuka Moyes with only £ 67 Milion to spent kwenye game 21 alikuwa na 37 points the same as LVG with nearly £200 Million to spend
Ahahaahahaha!
Huwezi kuwalinganisha DM na LvG kwa kuangalia suala la points tu...hicho kinaweza kuwa kigezo kimojawapo kati ya vingi...
Kwani this time last season kikosi cha moyes kilikuwa nafasi ya ngapi????
nadhani ni wakati muafaka wa kumpa el tigre falcao muda wa kucheza.. sasa mtu pesa zote zile afu unamuweka reserve team. come on van gaffi
mkuu balotelli kacheza 760 minutes kwenye epl with nothing to show, utamfananishaje na el tigre falcao aliyecheza 604 minutes with 3 goals and 3 assists+ struggling to get match fitness.Falcao Vs Baloteli
Nani atakuwa biggest floppy of the season
mkuu balotelli kacheza 760 minutes kwenye epl with nothing to show, utamfananishaje na el tigre falcao aliyecheza 604 minutes with 3 goals and 3 assists+ struggling to get match fitness.
nadhani balotelli ungemlinganisha na babu lambert
nadhani ni wakati muafaka wa kumpa el tigre falcao muda wa kucheza.. sasa mtu pesa zote zile afu unamuweka reserve team. come on van gaffi
Season haijaisha, baloteli anaweza kufufuka...ila kwa upepo ninavyouona sijui
Kwahiyo Falcao naye hawezi kufufuka?!?