Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,104
- 5,665
Yaani kwenda kwenye 4-4-2 tu, goli..3-5-2 haifanyi kazi. LvG anataka nini sijui!!
3-5-2 si ndo inapeleka mashambulizi mbele, au inasababisha oversupply?
Yaani kwenda kwenye 4-4-2 tu, goli..3-5-2 haifanyi kazi. LvG anataka nini sijui!!
hivi TATIZO la Man U ni kocha au ni wachezaji?
tujadiliane kwa vituo bila jazba.
3-5-2 si ndo inapeleka mashambulizi mbele, au inasababisha oversupply?
Unapobakisha beki watatu nyuma unatakiwa na kuwa na mabeki shupavu sio kina Evans ambao wanafanya makosa mengi hii inasababisha viungo kukosa imani na mabeki na wao wanajikuta muda mwingi wanasaidia beki, washambuliaji nao inabidi warudi kuchukua nafasi ya viungo na timu inachoka haraka