Mkuu kuna watu wanafanya uchambuzi wa ajabu sana...sawa hata kama points zipo sawa, hivi hawaoni hata improvements za timu na wachezaji?
Timu angalau inacheza mpira wa kueleweka kuliko wakati wa DM...
Ndiyo maana mimi uwa nasema kuwa United ikifungwa washabiki haswa wa shitty, goons, loserfools na rentboys ufurahia kuliko wanavyofurahia timu zao kushinda...
Siku hizi mpira umevamiwa na watu wa ajabu kweli...yaani unamlinganisha LvG na DM?!?

zimewekwa facts tu hapo,
ni kweli timu imeimprove lakini je kama DM angepewa the same amount of fund kama alizopewa LvG angefanikiwa zaidi,.?
Japokuwa mimi sikuwahi kuamini DM kama kocha sahihi wa Man United .

Cant compare these two people, because DM took Champions League at the younger age than crappy LvG.
Ebu niletee link inayoonyesha DM alinyimwa pesa za usajili...
Chifu, wachezaji wa Ulaya uangalia na calibre ya kocha wa timu husika..
Na kama suala la facts, basi Di Mateo is more successful at Chelsea than Maureen. As he won the UCL in his first season, something that Maureen failed...
Kwa akili yako unaamini Moyes alinyimwa pesa za usajili?! Moyes ndio alishindwa kusajili, sio kila Manager anaweza kusajili mchezaji mkubwa mkuu.
Si unaona Brendan Rogers anasajili wachezaji wadogo tu, na ndivyo kwa Moyes ilikuwa, alimpata Fellaini kwa sababu ni mchezaji wake na akampata Mata kwa sababu alikuwa hatakiwi Chelsea.
Matokeo yake timu haikuwa na uwiano, kulikuwa na kiungo mkabaji mmoja na namba kumi watano, bado tu huelewi kama Moyes alipwaya kwa Man United?
Man United sio kama Arsenal ya kusubiri wachezaji watoto wakue, Man United ni timu kubwa inatakiwa kusajili wachezaji wakubwa, sasa kama una Manager hawezi kusajili wachezaji wakubwa, hafai.
Ova
Msisahau huyu DM alikuwa "The Chosen one" wa the Great Sir Alex.
"After the club offered too littleToa links hizo, acha maneno mingi..
Chief wa jalalani, matokeo mabaya leo?Toa links hizo, acha maneno mingi..
LvG ni kocha mzuri sana,wala siwezi kuthubutu kumlinganisha na DM, japokuwa siamini kama mfumo wa 3-5-2 utafanikiwa
"After the club offered too little
for Fabregas and missed the deadline
for Daniele De Rossi, Moyes went with a
player he knew well who he thought could
do a job for United"
Links?!
Then unajiita weye ni mchabiki wa Manure . .... ... .... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Refa kaharibu game...hilo ndio kosa la EPL, marefa wanazingua sana, hawapewi adhabu..next week atapangiwa game nyingine tena!!
Nakubali wewe huwa hutoi visingizio hata mkifungwa na Leicester 4-3. Clattenburg alitukanwa sana siku ile.
Hicho ni kisingizio arifu? Unajua maana ya kisingizio? Maana ni kuwa kitu kisicho na ukweli au mantiki.
Sasa refa akichezesha vibaya, na kila mtu akaona hilo, kinakuwaje kisingizio? Ni jambo la ukweli mtupu na lina athari za moja kwa moja kwa matokeo ya timu.
Ila kusema sijui sisi tuna majeruhi ndiyo maana tumefungwa, hicho ni kisingizio. Kwani, kama kocha anaingiza timu uwanjani, ina maana anakuwa ameona (baada ya mazoezi kabla ya game) kuwa timu hiyo inaenda kushindana. Sasa akifungwa, tatizo linakuwa siyo majeruhi wake, bali ni tactics zake kushindwa na tactics za mpinzani wake..
Unaelewa kweli maana ya neno 'kisingizio' arifu? Ebu tuanze na hili kwanza, maana pengine tunaweza kuwa tunajadili suala ambalo tunalielewa tofauti!
BR na DM hawa wote ni makocha wazuri kwa timu ndogo, japokuwa DM alikuwa "the Chosen one" na may be Sir Alex alifikiri angeweza kuwa kocha mzuri kwa timu kubwa lakini he got all of it wrong.
LvG ni kocha mzuri sana,wala siwezi kuthubutu kumlinganisha na DM, japokuwa siamini kama mfumo wa 3-5-2 utafanikiwa