Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kukata tamaa? Chel$ki$ wameponea tundu la sindano…stats don't lie chifu...

Perfect ending...unbelievable...

RvP kachoka sasa aiseee..

Ni heri kufungwa na goons ya Wenger kuliko timu ya mpiga domo Maureen...

article-2808568-229478BA00000578-562_964x386.jpg

BBbkFXT.img

BBbkM3R.img

BBbkiBp.img

Onea buji!

Dah! Kufa kufana. khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nicheke mie ... ... . .
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Well done Man United! Mou ilikuwa kama sindano inaingia tak..oni alivyoona rvp akiua! 😀😀
 
B05J3t-IQAAfF6j.jpg

B05J3tzIcAA2SVF.jpg

B05J8C5IcAAUjBM.jpg

B05J8C5IgAARCW0.jpg

B05JHHPIIAA8AdN.jpg-large.jpeg

B05KBQcIcAEbjm2.jpg-large.jpeg

B05ckktIAAEwE7f.jpg

B05faE3CcAAqS48.jpg

B05fyDKCYAAfpuK.png

adnan-januzaj-player-ratings-tt-gallery_3221580.jpg

david-de-gea-player-ratings-tt-gallery_3221571.jpg

robin-van-persie-manchester-united-scores_3221556.jpg

Kwa ujumla: nimefurahishwa sana na timu ilivyocheza, hususani jinsi Fellaini alivyomweka mfukoni Cesc…Fellaini anaelekea kudhibitisha usemi wangu toka anunuliwe kwamba ni mchezaji mzuri sana, akiendelea hivi, hakika ataisaidia sana timu…RvP nafikiri inabidi awe anaanzia benchi, kachoka, simlaumu, kwa umri wake, anapaswa kuingia kama sub, LvG inabidi aache mapenzi kwa mdachi mwinziye...

Wiki ijayo tuna game ngumu dana dhidi ya watani yetu wa jadi..ni ngumu kwa kweli, nitafurahi sana kwa matokeo yoyote isipokuwa kufungwa...
 
jose-mourinho-manchester-united-chelsea-26102014_1ewsygx2m7scn1swvw7eg61qfl.jpg
Hakika sisi ndiyo imetuumiza, si umeona kocha wetu alivyohuzunika?? Viol

Acha ushirikina chifu, goli la RvP limewauma sana…mlidhani mtapata mteremko, lakini mmeponea chupuchupu pamoja na beki yetu ya tia maji tia maji...

Stats don't lie...

View attachment 196714

Kwa upande mwingine nikaangalia hizo stats, naanza kuumia na kuwaza tungewapiga nyiye ili mpiga domo wenu mkuu apige domo zaidi...
 
Last edited by a moderator:
Daley Blind, hadi sasa ni bonge la addition kwenye kikosi, huyu jamaa hajaniangusha hadi sasa…hana papara, anatumia akili kuliko kawaida….cheki leo alivyofanya...

B05ia7tCAAAlTOO.png
 
View attachment 196713
Hakika sisi ndiyo imetuumiza, si umeona kocha wetu alivyohuzunika?? Viol

Acha ushirikina chifu, goli la RvP limewauma sana…mlidhani mtapata mteremko, lakini mmeponea chupuchupu pamoja na beki yetu ya tia maji tia maji...

Stats don’t lie...

View attachment 196714

Kwa upande mwingine nikaangalia hizo stats, naanza kuumia na kuwaza tungewapiga nyiye ili mpiga domo wenu mkuu apige domo zaidi...

Mumpige nani mkuu? Mmeshindwa nini kutupiga mpk mmepata hiyo sare ya kubahatisha? Na mumshukuru refa....!
 
Last edited by a moderator:
Mumpige nani mkuu? Mmeshindwa nini kutupiga mpk mmepata hiyo sare ya kubahatisha? Na mumshukuru refa....!

Cheki stats chifu…refa kafanyaje? Unataka kusema kibinda nkoi ivanovic hakumfanyia foul Di Maria ama?
 
View attachment 196713
Hakika sisi ndiyo imetuumiza, si umeona kocha wetu alivyohuzunika?? Viol

Acha ushirikina chifu, goli la RvP limewauma sana…mlidhani mtapata mteremko, lakini mmeponea chupuchupu pamoja na beki yetu ya tia maji tia maji...

Stats don’t lie...

View attachment 196714

Kwa upande mwingine nikaangalia hizo stats, naanza kuumia na kuwaza tungewapiga nyiye ili mpiga domo wenu mkuu apige domo zaidi...

Nye ni kati ya timu kubwa tunazokutana nazo na nia ni kushinda au draw,maana mgetuharibia,but hata kwenu hatupotezi,tofauti na nye mliowaachia madogo wengine wawaharibie mtaweza man city mechi ijayo?
 
Last edited by a moderator:
Nye ni kati ya timu kubwa tunazokutana nazo na nia ni kushinda au draw,maana mgetuharibia,but hata kwenu hatupotezi,tofauti na nye mliowaachia madogo wengine wawaharibie mtaweza man city mechi ijayo?

Sasa umekuja katika sense za kisoka...

Mechi ijayo ni ngumu sana kwetu…ila kwa kipindi hiki uwa napenda timu kuonekana underdog, naamini hata wachezaji wakiwa na mtazamo huo wanakuwa hawana presha sana…kwa vile kapteni Rooney atakuwepo, Carrick na Herrera watakuwa fiti zaidi, na Falcao atakuwa fiti naamini, basi lolote lawezekana, Shitty safari hii timu yao si imara sana. Toure na Silva wamepoteza game yao kama ya misimu miwili iliyopita, wakiwa hivyo, basi tunaweza kuondoka na point, kama siyo points pale Etihad..
 
we are keeping it real
 
Cheki stats chifu…refa kafanyaje? Unataka kusema kibinda nkoi ivanovic hakumfanyia foul Di Maria ama?

Hizo stats hazina umuhimu wowote kwasababu unaweza ukapiga shuti ukalenga goli lkn Hilo shuti likawa km la mtoto na halina mazara yoyote lkn ktk stats likaandikwa.

Stats zangu km hive sasa;

Drogba amekosa goli la wazi De Gea akapangua.

Refs katunyima Penalty ya wazi kabisa..

Hazard alikosa goli la wazi kabisa.

Foul aliyotoa refa na kumpa kadi Iva sio halali...!

Aya zako wewe zikoje mkuu?
 
Duh! Kwa heri...
 
Hongera kwa ushindi wa goli 4 kama ulivyoahidi jana
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Hongera zimwendee refa kua mchezaji wa 12 wa Man Utd.....!

yaani umeishiwa kiasi hiki???!!! kutoka goli 4-0 sijui 7-0 leo unalialia refa kawanyima penati sijui red card??!! kweli wewe ni mshabiki maandazi na sio mtu wa mpira.....
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Back
Top Bottom