Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Khe khe khe khe unajipa moyo eeh!!!! Haya bhanaaa!!! sie tuko fit tunangoja kutia kibindoni faida yetu ya kesho tayari kwa maandalizi ya mchezo unaofuata.

Hahahaha!! Kimya kingi kina mshindo mkuu.......sisi hatupigi mayowe tunasubiri muyaone wenyewe........
 
Khe khe khe khe unajipa moyo eeh!!!! Haya bhanaaa!!! sie tuko fit tunangoja kutia kibindoni faida yetu ya kesho tayari kwa maandalizi ya mchezo unaofuata.

Kila la heri.....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kesho baada ya game, kun Aguero atakuwa man of the mech. Jamaa yupo onfire mbaya aje... Na hapa jukwaani Wacha1 atalitawala jukwa mbaya aje! Ki ukweli jamaa namwadimire mbaya, hasa kwenye mapicha.
 
Last edited by a moderator:

naon unamapenz binafs zaid ya soka aguero?anakabika sana yule silva ndo hatar zaid na hata kuwepo hii itasaidia sana
 
Last edited by a moderator:
Kwenye game ya chelsea nolitegemea man kupata matokeo yale tena ilikuwa tupate ushindi,Van Gaal huwa mzuri kwenye game za aina ile au hii ya Man city.
 
Kesho baada ya game, kun Aguero atakuwa man of the mech. Jamaa yupo onfire mbaya aje... Na hapa jukwaani Wacha1 atalitawala jukwa mbaya aje! Ki ukweli jamaa namwadimire mbaya, hasa kwenye mapicha.

Wacha 1 Mwenyewe kesho anashangilia Man Utd kimyakimya
 
1 De Gea (yupo vizuri sana now),2 rafael (da huyu huna sinaga tatizo naye kabisa van gaal alitaka kufanya kosa kwa kumuuza),3 Luke show,anaifahamu vizuri man city so kule tumeziba,4 Phil Jones huyo aguero wenu nadhani mtamsikia tu,5 Rojo Eden zeko atakuwa beki kwetu,6 Fundi kipofu aka Blind,aina ya viungo wakabaji wa kisasa zaidi wanaotumia akili zaidi kuliko mbio,sikushangaa kupata kadi Matic au Fabregas kuzimwa pale nyuma,7 Di Maria huyu maelezo yake mnayo wapinzani kumzua asionekane ni shughuli nyingine,8. Herera fundi mwingine mwenye ladha yake peke yake kwenye midfield ya Juu,9 Robin Van Persie sasa engine ya kijerumani inaanza kupata moto,tunamdai magoli 6 hadi sasa,10 Wayne Rooney nahodha mpiganaji huyu jamaa yupo tayari kufa uwanjani lakini si kufungwa na Man City hii, 11. ningependa aanze Fellain au Valencia ili kuanza kukabia juu zaidi mana hawa watu wameshajifia sa lazima wajilipue wataweka watu wa nguvu pale kati so dawa yao ni mfumo tu utakaowafunga,kesho naona goli 3 kwa man u na goli 1 kwa Man city,Yaya toure kajifia tayari,David Silva ndio huyo,Nasri hana Mpya.
Hawa jamaa kidogo nyuma wapo vizuri lakini safu ya Man U pale mbele ni ngumu kukosa goli gem ya kesho
 
Sasa naskia sikia cty hawana hawa mijitu, silva, toure, na nasri. Hapo napata abit of relief maana shida itakuwa ni kwa kaka vicent nyuma huko maana yule jamaa anapaniaga man u sjui kulaleki anacheza utadhan yy ndo assistant owner wa timu. Mbele kule nawaaminia mbona. Kesho hakuna sababu kwa kifupi
* ashley young chonde chonde baki manchesta vjijin usiende mjini*
 
Naomben kuuliza Wacha 1 mzima?!

Usiwe na hofu mambo yalikuwa mswano pale Emirates kama kawa .. ... ... ..

Wacha 1 Mwenyewe kesho anashangilia Man Utd kimyakimya

Mpira wa kesho mgumu kwa sababu timu zote mdebwedo .... ... ... .khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Usijali ngoja niingie home kwanza ... ... ...
 
Usiwe na hofu mambo yalikuwa mswano pale Emirates kama kawa .. ... ... ..

Mpira wa kesho mgumu kwa sababu timu zote mdebwedo .... ... ... .khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Usijali ngoja niingie home kwanza ... ... ...

Naomba niende nje ya mada, . inawezekana Le Prof ana maana yake kuhusu Ozil na Carzolla, jamaa ni wavivu uwanjani sijaona...
 
1 De Gea (yupo vizuri sana now),2 rafael (da huyu huna sinaga tatizo naye kabisa van gaal alitaka kufanya kosa kwa kumuuza),3 Luke show,anaifahamu vizuri man city so kule tumeziba,4 Phil Jones huyo aguero wenu nadhani mtamsikia tu,5 Rojo Eden zeko atakuwa beki kwetu,6 Fundi kipofu aka Blind,aina ya viungo wakabaji wa kisasa zaidi wanaotumia akili zaidi kuliko mbio,sikushangaa kupata kadi Matic au Fabregas kuzimwa pale nyuma,7 Di Maria huyu maelezo yake mnayo wapinzani kumzua asionekane ni shughuli nyingine,8. Herera fundi mwingine mwenye ladha yake peke yake kwenye midfield ya Juu,9 Robin Van Persie sasa engine ya kijerumani inaanza kupata moto,tunamdai magoli 6 hadi sasa,10 Wayne Rooney nahodha mpiganaji huyu jamaa yupo tayari kufa uwanjani lakini si kufungwa na Man City hii, 11. ningependa aanze Fellain au Valencia ili kuanza kukabia juu zaidi mana hawa watu wameshajifia sa lazima wajilipue wataweka watu wa nguvu pale kati so dawa yao ni mfumo tu utakaowafunga,kesho naona goli 3 kwa man u na goli 1 kwa Man city,Yaya toure kajifia tayari,David Silva ndio huyo,Nasri hana Mpya.
Hawa jamaa kidogo nyuma wapo vizuri lakini safu ya Man U pale mbele ni ngumu kukosa goli gem ya kesho[/QUOTE

Ningependa man u ashinde lakini tambo zako mh sijui itakuwaje maana umekuwa mc wakati mpira dk 90 na nyogeza kidogo.ntavumilia tu ili maombi yangu anayeongoza atanue wigo
 
Back
Top Bottom