Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hizo ndio stats za ukwe'he sio Hizo zako.

Mumshukuru sn Refa katunyima penalty na kuwapa hiyo foul iliyozaa goli....!

kwahio nyinyi kushinda ni mpaka refa atoe penati...asipotoa hamshindi??!! ASANTE REFA

kwahio nyinyi ikitokea faulo ndio basi hamna jukumu la kulinda goli lenu???!! ASANTE REFA.

sikutegemea mechi hii ikiisha utakuja kulialia refa kuwanyima penati wakati mlikuwa mnaropoka tu hapa idadi ya magoli mtakayoshinda as if mpira unachezwa midomoni kwenu.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
FELLAINI jana kamzima Cesc Fabregas kabisaaaa, timu nyingine inabidi zijifunze,ukitaka kuwatuliza chelsea mdhibiti huyu kijana......

Something seems to have changed regarding Marouane Fellaini. Accentuate the positive as the song goes and the midfielder's first Manchester United goal on Monday night at West Brom looks like it could prove the catalyst for a reassessment of what he can contribute to this team.

It was evident in the early moments of the game. Headed clearances were cheered. A strong tackle to stop Eden Hazard as he closed in on goal drew loud roars from the Old Trafford crowd. The confidence gained from his performance at the Hawthorns seems to have impacted on the player and the supporters.
Chelsea boss Jose Mourinho might have anticipated dominating the midfield zone. Daley Blind is a tidy playmaker but far from a powerful presence, while Nemanja Matic has proven himself to be a dominant force so far this season. But the inclusion of Fellaini for his first start under Louis van Gaal changed the dynamic.
FellainiTouches_3221607.jpg

Marouane Fellaini's touch map for Manchester United against Chelsea on Sunday

Playing slightly from the left of midfield but closing down Cesc Fabregas high up the field when he had chance, Fellaini worked hard to stop the man who prompts Chelsea from deep. Fabregas completed only three passes in the first 20 minutes and just 11 in the whole first half.
Given that the Spaniard has played more passes than anybody else in the Premier League, it was remarkable that United were able to stop him getting on the ball – and that owed much to Fellaini. "He was fantastic," said Robin van Persie of his team-mate. "He did a great job on Fabregas."
marouane-fellaini-man-utd-manchester-united-football_3219197.jpg

Scored an equaliser at West Brom

Even when Chelsea dominated in the second half, he didn't stop working. The Premier League tracking data shows that Fellaini covered 12.17 kilometres in the match, the most by any United player, and made 70 high-intensity runs. That was more than anyone else on the pitch and, tellingly, the most he has made in any game in a United shirt.
Ultimately he had his reward. In stoppage time, it was Fellaini's header on goal that Thibaut Courtois could only parry into the path of Van Persie. The Belgian clenched his fists when the United striker slammed the ball home. He is making a contribution and is part of this team now.
[TABLE="class: table"]
[TR]
[TD] MAN UTD v CHELSEA [/TD]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Player [/TD]
[TD] Distance [/TD]
[TD] Player [/TD]
[TD] Sprints [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Marouane Fellaini [/TD]
[TD] 12.17km [/TD]
[TD] Marouane Fellaini [/TD]
[TD] 70 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Daley Blind [/TD]
[TD] 11.29km [/TD]
[TD] Luke Shaw [/TD]
[TD] 64 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Luke Shaw [/TD]
[TD] 10.73km [/TD]
[TD] Rafael [/TD]
[TD] 54 [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
He might well be a part of this Van Gaal team going forward too. That would be quite a turnaround given that speculation in the summer suggested the new manager did not see Fellaini as a ‘United type of player' but his initial experiences in English football seem to have sparked a change in thinking.

"We have to look also for physical talents and maybe that's our problem," said Van Gaal in explaining his decision to replace Ander Herrera. "I'm a coach who is always thinking about creative players but in England you also need physical bodies in your team and Fellaini is one of these."
He showed that again at Old Trafford. Finally, Fellaini is finding a role in this Manchester United team. "I am happy here and the manager has shown trust in me," he said this week. And that trust is seeing Van Gaal get a return on David Moyes' considerable investment.
 
Mara ya mwisho niliona celebration kama ya Robin van Persie ni siku ile Aguero alipofunga goli la kundindia ligi.

It was the last day of the Premiership season and perhaps the best moment in the English Premiership history.

Now, kama mtu alikufa kipindi cha Ferguson na kufufuka jana na kuangalia celebration ya van Persie kwa kutoa draw na Chelsea in the early months of the season may leave him/her wondering what was so special with that goal?

No wonder Louis van Gaal has called Robin van Persie stupid.

On the other hand, there is nothing more stupid than the rule itself. Wapo wanaosema kuwa that rule has something to do with the sponsors.

Apart from that, the result makes the league more entertaining.
 
FELLAINI jana kamzima Cesc Fabregas kabisaaaa, timu nyingine inabidi zijifunze,ukitaka kuwatuliza chelsea mdhibiti huyu kijana......

Fellaini is good akicheza kama attacking midfielder badala ya kudefend. No doubt about that.

That is why he was scoring so many goals at Everton. In my opinion, jamaa ni mzuri kuliko hawa akina Blind na Herera. He is powerful.

Lakini aliye-dominate midfield ni Matic. He ruled the midfield. Kwenye set pieces aliyekuwa anamkaba Matic ni Fellaini.

Now, watch what happened before that Drogba's goal. Before the corner, Matic alienda kwenye box, Fellaini akawa anamsubiri pale ili amkabe.

But Matic akaamua kundoka kwenye box na kurudi nyuma. kuna clip moja Fellaini akawa anamwangalia, kama vile anamwuliza are you coming back or what?

Kutokana na hii uncertainty, Fellaini hakujua amkabe nani hasa; angeweza kumkaba Drogba but he wasn't sure kama Matic hatarudi kwenye box.

Check hiyo video hapo chini. Baada ya Matic kuondoka kwenye box, Fellaini alikuwa anamkaba nani?

Overall, Chelsea wanacheza wanavyocheza b'se of Matic. Almsot kama enzi za Makelele vile.

Man Utd watacheza vizuri zaidi in future if Fellaini plays in an attacking position.

About Fabregas, kweli jana alikabwa sana but still was able to add another assist in tallies.

Last edited by a moderator:
Mara ya mwisho niliona celebration kama ya Robin van Persie ni siku ile Aguero alipofunga goli la kundindia ligi.

Dah! Why are you people so bitter? What the fuss about RvP celebrating his goal? If you feel so bitter about it, go eat pieces of glass. Khaa!

It was the last day of the Premiership season and perhaps the best moment in the English Premiership history.

This is the most sweeping and narrowest statement I have ever heard about footie! What makes that to be the best moment in EPL history?

Now, kama mtu alikufa kipindi cha Ferguson na kufufuka jana na kuangalia celebration ya van Persie kwa kutoa draw na Chelsea in the early months of the season may leave him/her wondering what was so special with that goal?

Do you need something special to celebrate a goal in the last kick of the game? Come on, you shouldn't be this bitter. It was the goal in the last fakken minute of the game, changed the game's result (for United) from a losing position to getting a point!!

No wonder Louis van Gaal has called Robin van Persie stupid.

So now you are agreeing to what it has been said by LvG!! Mh! We will see….
 
Fellaini is good akicheza kama attacking midfielder badala ya kudefend. No doubt about that.

That is why he was scoring so many goals at Everton. In my opinion, jamaa ni mzuri kuliko hawa akina Blind na Herera. He is powerful.

So, what is point exactly? At one point you say, "Fellaini is good akicheza kama attacking midfielder badala ya kudefend". Thereafter, you say, "jamaa ni mzuri kuliko hawa Blind na Herera". Lipi ni lili sasa? Kwa sababu kama ukimlinganisha attacking mid na defensive mids, nadhani you need to learn the basics of footie. Hao ni wachezaji walio katika nafasi mvili tofauti. Hauwezi ukawaweka katika platform mona ya uchambuzi. Fellaini aliye attacking mid (kwa maelezo yako) huwezi kusema ni mzuri kuliko Blind na Herrera walio defensive mids.

Wote ni midfielders, but, they have different playing positions kwenye pitch...

Lakini aliye-dominate midfield ni Matic. He ruled the midfield. Kwenye set pieces aliyekuwa anamkaba Matic ni Fellaini.

Hiyo ni opinion yako based on what? Ebu cheki analysts walivyofikia conclusion na siyo blah blah tu!

Marouane Fellaini vs Nemanja Matic: Which midfield enforcer came out on top when Man Utd hosted Chelsea? | Squawka News

It was almost going to be tie as each player dominated part of the game (Fellaini in the 1st half, and Matic in the 2nd). But, Fellaini's saved header that was pounded into the net by RvP made him the winner
 
. However, there are bright spots: Manchester United, despite the flurry of high-priced overseas signings in the final weeks of the summer, have fielded 12 homegrown players this season, the fifth-highest number in the big five.

A Premier League spokesman said the “absolute focus” of the league’s elite player performance plan youth system is “to produce more and better homegrown players,” and pointed to an 11% increase overall this season in English player appearances.

“The clubs’ commitment to this programme of investment is already working,” the spokesman said.
 
hizi rimours zilizopo kuwa LVG ana plan kumleta Ashley Cole hap january kama ni za kweli basi nitamuona huyu bwana hana akili na hajui afanyalo.Kwaninii alimuuza Evra ili hali ana umri unaoendana kabisa na Cole na kwa kiwango in recent days Evra alikuwa juu kuliko Ashley kwani alikaa sana benchi.kama hii itatokea LVG atakuwa hana tofauti na punguani tu.
 
hivi evra aliuzwa na LVG?
 
Vipi wenyewe wa mtaa huu, hamjambojambo!? Mbona mtaa umepooza hivi? Hata taa mmezima! au ndio wasiwasi wa kipigo mnachokitarajia Jumapili hii? Nimepita tu kuwasalimia nakuwatakia muwe na weekend njema pamoja na kuwa mioyo yenu imeshaanza kwenda mbio.

#InGunnersWeTrust
 
Maskinii..!!
In wat??
 
We Have Old Trafford
They have EmptyHad
oh yeah Manchester united for ever
Watakaa weekend hii
#GGMU
 
Vipi wenyewe wa mtaa huu, hamjambojambo!? Mbona mtaa umepooza hivi? Hata taa mmezima! au ndio wasiwasi wa kipigo mnachokitarajia Jumapili hii? Nimepita tu kuwasalimia nakuwatakia muwe na weekend njema pamoja na kuwa mioyo yenu imeshaanza kwenda mbio.

#InGunnersWeTrust
Hata 26 mulisema hivi hivi.
 
Vipi wenyewe wa mtaa huu, hamjambojambo!? Mbona mtaa umepooza hivi? Hata taa mmezima! au ndio wasiwasi wa kipigo mnachokitarajia Jumapili hii? Nimepita tu kuwasalimia nakuwatakia muwe na weekend njema pamoja na kuwa mioyo yenu imeshaanza kwenda mbio.

#InGunnersWeTrust

Utawaona km matokeo yakiwa mazuri hasa km watapata draw au kushinda. Vinginevyo utamuona Nzi peke yake humu......! Khe Khe Khe Khe Khe

Cc: RRONDO
 
Last edited by a moderator:
Vipi wenyewe wa mtaa huu, hamjambojambo!? Mbona mtaa umepooza hivi? Hata taa mmezima! au ndio wasiwasi wa kipigo mnachokitarajia Jumapili hii? Nimepita tu kuwasalimia nakuwatakia muwe na weekend njema pamoja na kuwa mioyo yenu imeshaanza kwenda mbio.

#InGunnersWeTrust

Ahh!! Wapi tupo ngangari hatuna presha,asante kwa salamu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom