Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Point ya Msingi hapa ni kwamba ulikuwa ni Average tu!!!

Na hukutegemea kama utatoa draw na Manchester utd (thread yenu inajieleza)...

So, syo mbaya kama uki-Admit tu!!!

Its United and O.T....there is no day and no team inayoweza kusema there are 100% sure watashinda pale.
Wewe subiri zamu yako uende O.T , hopefully utakuwa na first eleven yako
 
Manchester bado wabovu!

hahahahahahaha!!!

So stats zinadanganya???

Coz stats zote zinaonyesha Manchester were the BETTER side leo!!!

Kitu kimoja cha Msingi ambacho Shabiki itabid ajifunze ni kuwa kila TEAM inakuwa na MCHEZAJI muhimu sana UWANJANI!!! *Nyota wa team*...
 
Its United and O.T....there is no day and no team inayoweza kusema there are 100% sure watashinda pale.
Wewe subiri zamu yako uende O.T , hopefully utakuwa na first eleven yako

Kalou bhana...

Kabla ya Game, mbona mlikuwa hamsemi hivyo???

Au hujapita kuichungulia *thread* yenu kabla ya game ya leo???
 
kabla ya game lazima mjigambe ,sasa wewe ulitaka tusemeje tena na tuko kwenye thread yetu..
 
Kujigamba hakukatazwi..sema nyiye Chel$ki$ mlikuwa mmejiaminishia ushindi kwa asilimia 100...na kusahau maajabu na uzuri ya soka, dk. 90 ndiyo mwamuzi..

Tuombe uzima, Januari United itakapokuwa kamili (kwa kupata CB), tutawakalisha darajani...
 
Hatimaye umezuka jamvini baada ya kujificha kwa kuhofia kipigo kizito cha kitu chenye ncha kali hahahahaha lol!!!! Hongera Mkuu point moja si haba 🙂🙂

Kujigamba hakukatazwi..sema nyiye Chel$ki$ mlikuwa mmejiaminishia ushindi kwa asilimia 100...na kusahau maajabu na uzuri ya soka, dk. 90 ndiyo mwamuzi..

Tuombe uzima, Januari United itakapokuwa kamili (kwa kupata CB), tutawakalisha darajani...
 
Kujigamba hakukatazwi..sema nyiye Chel$ki$ mlikuwa mmejiaminishia ushindi kwa asilimia 100...na kusahau maajabu na uzuri ya soka, dk. 90 ndiyo mwamuzi..

Tuombe uzima, Januari United itakapokuwa kamili (kwa kupata CB), tutawakalisha darajani...
Man Utd LOGIC.
WE DREW AGAINST CHELSEA
Let's take out our clothes and celebrate a
draw BECAUSE THAT'S WHAT MID TABLE
TEAMS DO
 
Unaona eeh!!!! Hata point moja ni heri tu hongera sana....hebu fikiria mngetoka bila hata point, ungenunaje leo?

Shukrani aisee ingawaje wewe ndo ulianza kunibania toka jana mpaka leo nusura...niliminya mpaka kikaeleweka, Lolz
 
hahahahahaha lol!!!! Ni sheeeeeedddddaaaaaaah.... Chezeya kupenda weye!!!! Natamani ningekuona ukiwa safarini huku ukiwa busy kuminyaaaaaaaaaaaaa kwi kwi kwi kwi lol!!!! Haya bhanaaa next week kuna mchapo mwingine wa nguvu na MANC jiandae kuminya tena. Mie nitakuombea sare nyingine.

Hahaha!! Kha!! Yaani wewe hunipendi kabisaaaa!! Nidraw tena? Ila wale watoto wetu wana kismati cha kutusumbua sana mara nyingi wanatuaibisha ila safari hii moto utawawakia,sema wana hasira ya kufungwa watakuwa wabishi sana ila natumai tutawachapa safar hii,duh! Mech ijayo ntaomba na mtu anisaidie kuminya....lol
 
Naam wana hasira za kufungwa na hawatakuwa tayari kupoteza mchezo wa pili mfululizo na nyie mtajitutumua kuhakikisha hamuambulii point moja katika mechi mbili ndio hapo mchezo utanoga sana mashambulizi kila upande tena ya nguvu mie tuliiii mbele ya TV nikiangalia kila sekunde kwa raha zangu tena bila pressure lol! Ukishinda hongera zangu kama kawa, itakuwa ni dalili nzuri kwa Van Girl na kibarua chake.

Hahaha!! Kha!! Yaani wewe hunipendi kabisaaaa!! Nidraw tena? Ila wale watoto wetu wana kismati cha kutusumbua sana mara nyingi wanatuaibisha ila safari hii moto utawawakia,sema wana hasira ya kufungwa watakuwa wabishi sana ila natumai tutawachapa safar hii,duh! Mech ijayo ntaomba na mtu anisaidie kuminya....lol
 
Kuna mtu tumemsahau ila kwa upande mwingine ni Almasi mchangani...
Fellain Ugumu wa namba unamfanya aendelee kuonesha ubora wake ili asisote benchi na leo kafanya kazi na watu wakasahau alipo Fábregas ..
***
bila uchoyo Kwa MUFC fans, unairate vipi performance ya Fellain out of ten??
 
Back
Top Bottom