Manchester United (Red Devils) | Special Thread

arolabKatika kuongezea tuu ni kuwa mechi inayofuata ya Manchester United ni dhidi ya West Bromwich Albion.

Mechi hii itachezwa kwao WBA Tarehe 20-10-2014 siku ya Jumatatu majira ya saa nne kamili usiku (sio weekend kama alivyosema NkyaH )

Honestly mechi za jumatatu huwa sina Imani nazo tangia enzi za babu..
 
Last edited by a moderator:
Haya na herera na carrick je?! Mbna kazi ipo hio game.

Taarifa za Carrick zinasema kuna uwezekano ata game ya tarehe 20 atakua available. So nina iman match ya chelsea atakua available and fit for da match
 
ImageUploadedByJamiiForums1413062325.532091.jpg
 
Taarifa za Carrick zinasema kuna uwezekano ata game ya tarehe 20 atakua available. So nina iman match ya chelsea atakua available and fit for da match

Na Mimi nawaombea wale walio majeruhi wote waweze kupona haraka ili tarehe 26 timu yenu yote iwe kamili pasitokee sababu ya kulalamikia majeruhi.

Chelsea fc forever....!

Cc: agosti 8 Mentor Viol Nzi Bulldog
 
Last edited by a moderator:
Going to be 4-0 mark my words

Ni ngumu sana Man United imalize mechi bila kufunga goli 2,anyway endelea kuota,pamoja na kuwa wabovu last season mkaambulia droo OT
 
Watapita kwa wapi,van Gaal hata akifunga hashabikii mzee yamemfika shingoni
 
Na Mimi nawaombea wale walio majeruhi wote waweze kupona haraka ili tarehe 26 timu yenu yote iwe kamili pasitokee sababu ya kulalamikia majeruhi.

Chelsea fc forever....!

Cc: agosti 8 Mentor Viol Nzi Bulldog

Tulia time will tell, kama hamjakuja kuumwa ugonjwa wa kutoamini kilichotokea mpaka msimu unaisha
 
Last edited by a moderator:
Ni ngumu sana Man United imalize mechi bila kufunga goli 2,anyway endelea kuota,pamoja na kuwa wabovu last season mkaambulia droo OT

Hakuna droo OT mkuu Belo kipigo kwa Van Gaal kiko wazi kabisa.

Cc: Mndengereko
 
Last edited by a moderator:
Hiyo game itakuwa rahisi sana hutategemea yatakayotokea

Nafahamu kua hiyo game ni nyepesi sn na pia kwa Jose jinsi alivyo hiyo game tayari imeshaanza kuchezwa Bado tu hizo dakika 90 Za uwanjani tu...!
 
Arsenal tuliowachapa 2-0 juzi huwezi kuwafananisha na Man U,arsenal wagumu kuliko hawa
 
Tulia time will tell, kama hamjakuja kuumwa ugonjwa wa kutoamini kilichotokea mpaka msimu unaisha

Hakuna shida mkuu....! Ngoja tusubiri..!

Sisi Chelsea fans tumeanza kuweka kambi ktk Nyumba yenu hii tukisubiri game yetu kwa hamu..... Tuone km Huyu Mzee Van Gaal atamfunga Jose Mourinho?
 
Mourinho anamtambua vizuri sana uyo mzee so mourinho hatoongea upumbavu wake mbele ya uyo dingi yaani ata akishinda mourinho apo ni respect mkuu atawachezea ao ao akina wenger na akina rodgers
 
Ni rahisi sana Man U kuifunga Chelsea kuliko Southampton. Wenye akili wameshaelewa hapa
 
Back
Top Bottom