Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Last edited by a moderator:
hahahaha ........... sisi unbeaten mpaka mwisho wa msimu! utasubiri sana mkuu.

Grand PA
Pole sana kwa kipigo cha leo,mi nakuona tu kwenye msimamo wa ligi umependezaje!! Kweli we unbeaten.........
 
Morning, hodi Humu ndani! hope woote wazima, kidogo nichambue match yetu ya jana na Everton, Luis van ni bonge la kocha tumepata lakini bado hajazoea mazingira na changamoto za Epl na bado hajawajua wachezaji wake wengi wengi au bado abamiss wachezaji wawili 3 ili aweze kutumia mifumo yake, Jana man ilianza vuzuri lakin sub zake mara nyingi ndio zinazoimumiza man united, Jana Rvp na Mata hawakuwa mchezoni kabisa after 1st half ilikuwa mata atoke aingie Fellain kwa ajili ya kuhold midfld ya mbele, fellain ni mzuri zaidi akiwa kama namber 8, Valencia hakupaswa kutoka coz aliifanya kazi yake vizuri ya kumsaidia blind na raphael, raphael na blind walikuwa free sana upande wa kulia, jamaa alikuwa anazuia mashambulizi na kutibua mipango ya everton, Lukeshow bado majeruhi yanamuandama, Rvp angetoka na James kuja ili kuongeza nguvu pale kati na kumfanya Falcao afaidi kazi ya Malaika De Maria,

Siyo mbaya mwanzo mzuri ila jana angalau tulirudi katika kiwango chetu na kunipa imani atakaporudi Phill Jones na Carric Man itakuwa nyingine kimfumo, na kama Jana Herrera angekuwa fit tungepata goli zaidi ya mbili mana herrera ni zaidi ya mata, anaasist na kufunga.

Bado naingiwa na hofu na Chelsea na Man city kwa ubora wa vikosi vyao, Van Gaal akiifanya Man yote ijitume kama anavyofanya Di Maria, iwe na moyo wa kupambana kama anavyofanya Raphael na Valencia kuna uwezekano Chelsea kuzuiwa Old t, Asernal na Liverpool sina wasiwasi nao hawa wetu miaka 100, shukran.
 
Kuna mahali nimesoma eti lile goli la falcao di maria alikuwa ali off target wakat mm naona ni pasi kabisa ile, ukizingatia hata mata goli la nne against QPR lilikuwa hvyohvyo. Kwan nyie wadau mnaonaje
 
Goli la Falcao limechunguzwa na kuonekana timing yake ilikuwa super. Siyo kuwa aliotea. Kiwango cha Falcao kinatisha.
 
Morning, hodi Humu ndani! hope woote wazima, kidogo nichambue match yetu ya jana na Everton, Luis van ni bonge la kocha tumepata lakini bado hajazoea mazingira na changamoto za Epl na bado hajawajua wachezaji wake wengi wengi au bado abamiss wachezaji wawili 3 ili aweze kutumia mifumo yake, Jana man ilianza vuzuri lakin sub zake mara nyingi ndio zinazoimumiza man united, Jana Rvp na Mata hawakuwa mchezoni kabisa after 1st half ilikuwa mata atoke aingie Fellain kwa ajili ya kuhold midfld ya mbele, fellain ni mzuri zaidi akiwa kama namber 8, Valencia hakupaswa kutoka coz aliifanya kazi yake vizuri ya kumsaidia blind na raphael, raphael na blind walikuwa free sana upande wa kulia, jamaa alikuwa anazuia mashambulizi na kutibua mipango ya everton, Lukeshow bado majeruhi yanamuandama, Rvp angetoka na James kuja ili kuongeza nguvu pale kati na kumfanya Falcao afaidi kazi ya Malaika De Maria,

Siyo mbaya mwanzo mzuri ila jana angalau tulirudi katika kiwango chetu na kunipa imani atakaporudi Phill Jones na Carric Man itakuwa nyingine kimfumo, na kama Jana Herrera angekuwa fit tungepata goli zaidi ya mbili mana herrera ni zaidi ya mata, anaasist na kufunga.

Bado naingiwa na hofu na Chelsea na Man city kwa ubora wa vikosi vyao, Van Gaal akiifanya Man yote ijitume kama anavyofanya Di Maria, iwe na moyo wa kupambana kama anavyofanya Raphael na Valencia kuna uwezekano Chelsea kuzuiwa Old t, Asernal na Liverpool sina wasiwasi nao hawa wetu miaka 100, shukran.

Tatizo ni kumiliki mpira period. Kama wakilithibiti hilo tatizo tutapeleka misiba mizito Stamford bridge name kwingineko. Hakuna defence ya kuizuia manutd kupachika mabao tatizo ni wasipoteze mipira.

Sub hazikuwa na shida Bali kumiliki boli bado sana has a kipindi cha pili.
 
Hongereni Kwa kuwapiga Everton!

Tarehe 25 mwezi Huu mi mgeni wako! Sasa jiandae Kupata msiba! Nimemaliza kz na Goons

Cc: Nzi Bulldog
 
Last edited by a moderator:
Goli la Falcao limechunguzwa na kuonekana timing yake ilikuwa super. Siyo kuwa aliotea. Kiwango cha Falcao kinatisha.

Wakati mkijifariji Kwa hayo magoli, sisi twajivunia mtambo wa magoli Diego Costa
 
Nadhani mnamjua vizuri Falcao,mara ya mwisho kukutana nae aliwagaragaza vibaya
 
Falcao alikua zamani Lkn siku hizi kabaki picha tu! Kazidiwa kiwango na aliekua anakaa benchi ATM Diego Costa.
 
Back
Top Bottom