.......unaleta story za kujiliwaza kama za mabaharia,
....hivi sasa weshafulia na kuwa mateja ndio utasikia [Kwa sauti ya Kitale!] "enzi zangu pale Perea ndani ya Ugiriki!,......eeee, ndani ya Messina Lloyds mtu wangu!"
Gademu! Mmefulia banaaaa....
Hata Nottingham Forest wana historia yao banaaaa....
Cc;
Wacha1,
BAK,
Mentor, et al...
Hawa Man u wanadata sasa dahh?! Mpaka huruma yaani.
Kufulia kama goons ama?
Hivi unafahama katika European football, Forest wana status kuliko goons? Wewe shauri lako...
Kama historia ingekuwa haimati, usingesikia habari za La decima msimu wa jana.
Anyway, hata baharia anavyokupigisha stori jinsi alivyokuwa akila good times enzi zake, angalau anakumbuka namna alivyokula good times. Sasa wewe uliopigishwa story huna hata cha kudolishia watu kwa good times ulizokula, khaa!!
Hivyo, najua hupendi kusikia utamu wa historia ya United.
Goddam, hivi uwa unajisikiaje ukicheki ile classic final ya UCL pale Nou Camp May 1999? Aisee mimi mpaka kesho uwa napata ecstasy nikiangalia ile game.
Au uwa unajisikiaje ukiangalia jinsi Giggsy alivyochanja mbuga na kupenyeza kwenye msitu na visiki vya karibu timu nzima ya goons na kwenda kufunga goli kwenye 1/2 ya FA mwaka 1999? Hadi kesho nikiangalia, nashangilia kama ni live game!
Pia uwa unajisikiaje pale JT alivyokosa penati katika final ya UCL mwaka 2008; na Edo van der Sar kuokoa mchomo wa Anelka?!?
Naweza kuandika memories za good times za kibaharia humu mpaka kesho.
Ila, najua
#WakaangaSumu hawapendi, ukweli mnaufahamu na matarajio yanaogopesh, United haiwezi kufa bloodfakken death kama loserfools au Forest.
Project ya LvG ni more promising than ya DM. Ingawa kama nilivyokuwa nikisema, DM alionewa bure; na matokeo ya msimu huu pia yameonyesha.
Kwa kumaliza, endeleeni kufurahia sasa (hizo ndizo zitakuwa stori zenu kwenye vijiwe, pale mtakapoanza kuwapigisha watu stori za kibaharia, na kusema jinsi mlivyokula good times kwa United kufanya vibaya).
Tchao.