Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Avatar yako inaonyesha wewe ni mbeya sana ahasante Mungu hatukaribiani hata kiduchu ungekuwa unaishi Njiro ningekuwa na mashaka na ndoa yangu kwa umbeya wako.

na mwandishi wetu MO11

Man u yawalamba miguu Fa

Klabu inayolipa vizuri kwa sasa uingereza mashetani wekundu mabingwa wa kihistoria wa ligi kuu uingereza wameomba uwezekano wa kucheza mechi zote zilizobaki na Queen park Rangers.
Maombi hayo yamekuja baada ya wiki iliyopita kuifunga klabu hiyo magoli mengi ambayo yamewatia matumaini ya kurudi Ulaya UEFA.

Hata hivyo maombi hayo yalitupiliwa mbali na kuchomwa moto na kutishiwa hata nafasi ya saba waliyopewa watapokonywa. Man u imekuwa timu iliyo pata shida sana msimu huu kwa kuambulia vichapo viwili suluhu mbili na ushindi mmoja.

Ila habari za ndani zinasema maombi hayo yamekataliwa kutokana kustaafu kwa Webb na Fergie
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Avatar yako inaonyesha wewe ni mbeya sana ahasante Mungu hatukaribiani hata kiduchu ungekuwa unaishi Njiro ningekuwa na mashaka na ndoa yangu kwa umbeya wako.

avatar yako inaonesha wewe ni mzee sana ahsante mungu kwa kunikwepesha na wazee ambao ningewachukilia wake zao
 
kazi ya RYAN GIGGS....

[h=1]Van Gaal gives insight into Ryan's role[/h] Louis van Gaal has shared some insight into Ryan Giggs' responsibilities as his right-hand man, revealing the Manchester United legend takes the lead when briefing the players about their opponents.
Giggs has been on the club's coaching staff since the summer of 2013 when David Moyes succeeded Sir Alex Ferguson and after a four-match stint as caretaker boss at the end of last season, the Welshman was retained in the new regime as assistant manager. And while one of van Gaal's compatriots Marcel Bout scouts the opposition, it's Giggs who gets to stand up in front of the squad and deliver the information.
"Yes, he presents it," said van Gaal, in a briefing with the Sunday newspapers.
"My analyst Marcel Bout goes to the [opposition team's] games and gives his analysis and cuttings to Giggs who makes a presentation. I check it, and then Giggs presents it to the players. The next day, we simulate our opponents in the training sessions."
Being asked to ape the opposition was something United's players became accustomed to during the pre-season tour when they impersonated Inter Milan and mimicked Real Madrid among other teams. This week, members of the squad will have been playing like Leicester City under guidance from Giggs and of course van Gaal.
"I always prepare for matches very thoroughly," added the boss. "I have four books about the games Leicester have played already, including the one they lost against a smaller club [Shrewsbury in the Capital One Cup]. I know everything about the team, about their individual players, about the subs who can come into the game, even the atmosphere in the stadium and how they kick the first kick of the match. Everything."


Safi sana giggsy. You are a lengend
 
Starting line up:-

Dea gea, Shaw, Rafael, Rojo, Evans, Herrera, Rooney, RSVP, Falcao, Malta, DiMaria

The £38 million Mata is on the bench.

Kama ni kuchagua based on previous performance, Van Persie ndo alitakiwa apigwe bench na siyo Mata.

Kwa staili hii itambidi Mata atafute pa kwenda. He doesn't fit in LVG team.
 
4-3-3 leo ndo Formation mbele akiwa Rooney Falcao & Van-P
#GGMU
****
Leo Nitakuwa naifuatilia game mwanzo mwisho ila nikiweza takuwa nina update na huku pia..!!
 
Mpira yumeanza, mwelekeo tutauona baadaya dk 15 za kwanza
 
The £38 million Mata is on the bench.

Kama ni kuchagua based on previous performance, Van Persie ndo alitakiwa apigwe bench na siyo Mata.

Kwa staili hii itambidi Mata atafute pa kwenda. He doesn't fit in LVG team.


Hizo ni tactics mkuu
 
Back
Top Bottom