Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

LoL!!! Eti kipigo cha leo cha timu ya kata kimeleta hofu kwa nyingine za EPL!! Hongera za Van Girl kwa kuleta hofu kubwa EPL Kwi kwi kwi kwi mtachonga sana leo.

#Fact

EPL yote inatishika kutokana na mziki wa Man Utd

#Fact

Kipigo kama cha leo timu nyingi zitachezea including so called Big Teams
 
Hahaha katika wakaanga sumu wote wewe ndo unayeongoza kuwa na akili,sijui kwa nini wenzako hawataki kuiga mfano wako!!! Hasa BAK na Wacha1

teh teh teh teh teh sasa hapo mkuu ngoja waje wenyewe waiongele hii ishu.
Mkuu BAK njoo usikie maneno ya watu waliotoka Mafichoni teh teh teh teh teh.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Hongereni. Ushindi najua ni mtamu, ila QPR ni moja ya timu zenye worst records katika EPL na Manu ni timu iliyotumia pesa nyingi ktk msimu mmoja kuleta majembe. Pia isisahaulike QPR wamepanda msimu huu. Hivyo nilitegemea Manu kushinda kwa kushindo hicho tena kwao. Tests zinakuja kama kweli mko tayari. Subirini.
 
LoL!!! Eti kipigo cha leo cha timu ya kata kimeleta hofu kwa nyingine za EPL!! Hongera za Van Girl kwa kuleta hofu kubwa EPL Kwi kwi kwi kwi mtachonga sana leo.

Aston Villa team ya kata??
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Hongereni. Ushindi najua ni mtamu, ila QPR ni moja ya timu zenye worst records katika EPL na Manu ni timu iliyotumia pesa nyingi ktk msimu mmoja kuleta majembe. Pia isisahaulike QPR wamepanda msimu huu. Hivyo nilitegemea Manu kushinda kwa kushindo hicho tena kwao. Tests zinakuja kama kweli mko tayari. Subirini.

Ndo tumeshaanza. Hatuna tests
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
LoL!!! Haya mabingwa wa kuzifunga timu za kata na mwendo wenu wa Kobe 🙂

Acha hizo wewe as long as wako kwenye ligi si wadogo hao!! Mbona Leicester walipotufunga mlisema sana kwamba tunafungwa na kitimu kidogo kama ile. Mwendo mdundo ndo safari imeanza hivyo,haters mjipangeeee!!!
 
kuna wimbo mmoja maarufu siku hizi unaimba hivi..

"wanawivu haooooh....aahohaaoooo...wachongonganishi haoooooh....aaahahoooo"
"...kwenye EPL Di Maria kaingiaje...kwenye nyumba ya Manchester United Blind kaingiaje.."
"....kaanza safari mchana jua kali old trafford....
"....mmsijali wakaangasumu mdogo mdogo ndio mwendo wetu..."
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Hv hii quote umeandikiwa au umeandika mwenyewe au umeandikiwa!!! Maana sitaki kuamini kama kweli unaweza kuandika matapishi haya mbele ya kadamnasi

wewe mbwe mbwe zooote kumfunga QPR tu!" ........... nahisi mtaota leo.

Grand PA
 
hahahaha ushindi bana, wiki mbili zilizopita hii thread mida kama hii ilikuwa haina wenyeji zaidi ya Bulldog na RRONDO lakini leo kuna mtu mingi .Nasubiri wiki mbili, tatu zijazo nione kama itakuwa kama leo..
 
BAK Makocha, Owners, Wapenzi wa timu zingine hawatalala vizuri wakifikilia ni jinsi gani Utd itakavyowafanyia kitu mbaya.... Ohhh kuna timu tulishaigonga 8.... na mziki huu wa sasa sijui itakuwaje
Bulldog Utd ni timu tajiri watawapa Madrid hizo £4 millions extra
 
Last edited by a moderator:
hahahaha ushindi bana, wiki mbili zilizopita hii thread mida kama hii ilikuwa haina wenyeji zaidi ya Bulldog na RRONDO lakini leo kuna mtu mingi .Nasubiri wiki mbili, tatu zijazo nione kama itakuwa kama leo..

Sasa hivi humu birthday kila siku. Sherehe kila siku.
 
BAK Makocha, Owners, Wapenzi wa timu zingine hawatalala vizuri wakifikilia ni jinsi gani Utd itakavyowafanyia kitu mbaya.... Ohhh kuna timu tulishaigonga 8.... na mziki huu wa sasa sijui itakuwaje
Bulldog Utd ni timu tajiri watawapa Madrid hizo £4 millions extra

Hadi apate hyo ball d'or
 
Last edited by a moderator:
Clean sheet looser. 3 points netted. Wew baki na loss ya aston villa wako

ila hongereni!" kw point 3. hivi goli la pili alilofunga Herera kalifabrigas nani? .......... mana zilipigwa pasi za haraka sana.

Grand PA
 
Ndio zao hawa Mkuu halafu kibao kikibadilika hawakawii kukimbia jukwaa na kulitelekeza bila wenyewe.

Kama kawaida yenu. Giggs aliposhinda mechi ya kwanza baada ya kuchukuwa timu toka kwa Moyes mlisema hivi hivi, matokeo yaliyofuata tunayajua.
 
Back
Top Bottom