Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Malizia sentensi yako Mkuu!, mmeiva kuzifunga timu za kata. Arsenal si timu ya kata, siku zote kumbuka hivyo.

Duh! Hivi mara ya mwisho goons kuifunga United ni lini vile?👀👀👀👀
 
LoL! #Mburukenge wote leo mliokuwa mafichoni kutokana na poor performance of your team leo mmeshuka jamvini na mnachonga kupita kiasi utadhani mmechukua ubingwa wa EPL kwi kwi kwi kwi

Namuomba mungu akupanue uwezo wako wa kufikiria
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
BAK.... Arsenal sio timu ya kata....okay ila last time Arsenal sio timu ya kata lini iliifunga Utd?
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Nzi
Usisahau jinsi SAF alivyokuwa anatumia turufu/haki miliki yake ili marefa wawabebe. Sasa haki miliki ya kubebwa na marefa kaondoka nayo mmiliki SAF.

CC: Mkuu Mbu

BAK.... Arsenal sio timu ya kata....okay ila last time Arsenal sio timu ya kata lini iliifunga Utd?
 
Last edited by a moderator:
JS46179851.jpg

Louis Van Gaal and his wife Truus

Louis van Gaal to MUTV:

"It's my wife's birthday, so we've given her a fantastic present!"
 
Ingia goal.com nimeona post kuwa van gaal anamtaka humels. Kesho nikiwa na computer ntawawekea. Nimefarijika sana Nzi
Ikiwa kweli hyo kitu itakuwa poa sana,
teh teh teh teh teh sasa hapo mkuu ngoja waje wenyewe waiongele hii ishu.
Mkuu BAK njoo usikie maneno ya watu waliotoka Mafichoni teh teh teh teh teh.

Na waione labda kidogo wanaweza kujirekebisha.
 
Last edited by a moderator:
BAK kwahiyo Sir Alex alikuwepo msimu uliopita?

Ikawaje matokeo?
 
Last edited by a moderator:
He needs 85 goals to match Shearer's record (260 EPL goals) Can he do it? Yes, if he stays at United till retirement.

Na OT sidhani kama atataka / anampango wa kuondoka labda kiwango kitakapoanguka na uongozi uamue kumfungashia virago vyake (useless)
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Teh teh teh teh wacha wajiliwaze Mkuu Piere. Fm, hali yao ilikuwa mbaya sana. Yule Van Girl kibarua almanusra kiote nyasi.

teh teh teh teh teh sasa hapo mkuu ngoja waje wenyewe waiongele hii ishu.
Mkuu BAK njoo usikie maneno ya watu waliotoka Mafichoni teh teh teh teh teh.
 
Usisahau jinsi SAF alivyokuwa anatumia turufu/haki miliki yake ili marefa wawabebe. Sasa haki miliki ya kubebwa na marefa kaondoka nayo mmiliki SAF.

CC: Mkuu Mbu

Hiyo ni very flawed notion. La sivyo David Dein (sijui kama nimeandika sahihi) aliyekuwa bosi wa FA na mwenyekiti na mwenye shares na goons, naye alishiriki katika kuibeba United.

Kwani hata kipindi hicho goons walikuwa wakichezea vitasa; nakumbuka walipewa vitasa 6 na timu yao bora kabisa!!!
 
Last edited by a moderator:
Pazi dah ni raha tupu kurudia kuangalia mechi ya leo..... Hawa watoto wa LVG watawaletea watu matatizo sana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom