nilisema tutaheshimiana tu mwaka huu.....ANDER HERRERA ni balaa,sasa tuna scoring midfielder....DALEY BLIND ni kama alikuwepo kwenye hii timu misimu mitano....ROJO[say ROHO] huyu hata alikuwa humuoni uwanjani maanke hana mistake yoyote na yeye utafikiri alikuwepo premier league misimu mitano iliopita.....DI MARIA im speechless tulichokikosa kwa Ronaldo alivyoondoka nakiona kwa DI MARIA.....Falcao ana kazi rahisi sana kumalizia pasi za DI MARIA kama alivyofanya JUAN MATA leo....ROONEY business as usual....VAN PERSIE asije kulaumu mtu kwa mpira huu lazima ainue kiwango chake otherwise benchi linamuhusu.....
kwa kweli si ushindi tu ulionifurahisha ni ile perfomance,timu ndani ya wiki mbili ishajengeka 'diamond' pale katikati inavyofunguka na kufunga ni balaa yaani utafikiri walikuwa wanafanya mazoezi pamoja kwa mwaka mzima.....
najua
#WakaangaSumu watasema its just QPR lakini hizi ndio timu ambazo kama timu yako ni nzuri unapiga goli si chini ya tatu na tumewapiga nne pengine zingekuwa hata 8 kama tusingetoa mguu kwenye gas!!!!!!!!
cc:
Ntuzu agosti 8 rubaman MosDef Mndengereko DonDonald Belo Nzi pierre fm