Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Okay...nafikiri Rooney atapiga namba 8...9 na 10 El tigre na RvP...
 
Hahahahahaha lol!!!! Naona leo mmepata la kuongea mbona hutaki kujibu swali langu bhanaaaa!! Ni aje Mkuu? Naona bado hamjatimia lakini wengi bado wako msituni kwa sababu wanaona ushindi huu si wa kujivunia. Hata hivyo BAK anasema hongereni sana. Mmejitahidi sana leo hatimaye mmepata points tatu za kwanza katika msimu huu wa 2014/2015 🙂🙂🙂

Khe khe khe

BAK upoo??
 
Hahahahahaha lol!!!! Naona leo mmepata la kuongea mbona hutaki kujibu swali langu bhanaaaa!! Ni aje Mkuu? Naona bado hamjatimia lakini wengi bado wako msituni kwa sababu wanaona ushindi huu si wa kujivunia. Hata hivyo BAK anasema hongereni sana. Mmejitahidi sana leo hatimaye mmpeata points tatu nza kwanza katika msinu huu wa 2014/2015 🙂🙂🙂


Asante mkuu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Bulldog yeah RVP inabidi afunge goli ili arudi kwenye hali aliyozoea ya kutikisa nyavu
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Nzi
Back
Top Bottom