Manchester United (Red Devils) | Special Thread

"If Man Utd are done with current transfer market they may finish worse than 7th"
 
Mdudu Nzi hebu njoo huku utoe update za hii game at least for the first 45 mins, nipo mtaani mpaka half time ndio nitakuwa maskani. Hakuna reporter mzuri hapa JF wa kandanda kila dakika kama wewe brother, at least utaniwezesha kujua yanayojiri katika mchezo wenu wa kufungua msimu.
 
Bado nitaendelea kusema kama nilivyosema msimu uliyopita. Kocha nae anachangia kwa kiasi kikubwa kushinda au kufungwa kwa timu.

Katika mechi ya keo LvG kawapanga baadhi ya wachezaji in their wrong positions ili kucheza system yake only kukuta it was a wrong move kabla ya kubadilisha formation.

Kweli baadhi ya wachezaji ni mzigo, hata Scholes kasemea hilo, but system ya LVG imechangia kwa kiasi kikubwa kufungwa leo.

Well, tuone kama atatumia tena system ya kudefend na mabeki watatu in the Premiership. Nilimshangaa sana.

Pre season mlikuwa hamsemi hayo , mlikuwa mnamtukuza Luisa kama vile ni Mungu hahaha mtazowea tu
 
Ndio kwanza ligi inaanza
d.jpg
 
Bado nitaendelea kusema kama nilivyosema msimu uliyopita. Kocha nae anachangia kwa kiasi kikubwa kushinda au kufungwa kwa timu.

Katika mechi ya keo LvG kawapanga baadhi ya wachezaji in their wrong positions ili kucheza system yake only kukuta it was a wrong move kabla ya kubadilisha formation.

Kweli baadhi ya wachezaji ni mzigo, hata Scholes kasemea hilo, but system ya LVG imechangia kwa kiasi kikubwa kufungwa leo.

Well, tuone kama atatumia tena system ya kudefend na mabeki watatu in the Premiership. Nilimshangaa sana.

Tatizo ni kwamba hana wachezaji wa kufit kwenye positions hizo...ndiyo maana imebidi atumie 3-5-2...timu inahitaji winger mmoja mkali (tayari inaye mmoja, Januzaj), CB mzoefu 1, LB 1 wa kumsaidia Shaw, na CM 1 tena wa kusaidiana na Herrera...

Hivyo, bado tunarudi kwa wachezaji...mimi bado naamini hata Moyes angepewa wachezaji aliowataka, asingemaliza wa 7...
 
Mkuu Nzi nimeangalia mechi yote ni kweli Van Gal anatakiwa kusajili wachezaji wa kiwango cha juu kabisa kwanza defence ni kichekesho,pili kiungo ni lazima tatu mfumo wake wa 3 4 1 2 sidhani kama utaleta matunda yanayokusudiwa.

Kwanza lazima LVG asajili defender wa kiwango cha kimataifa (experience) CB leo nimeona defence ikicheza hovyo utadhani wapo mashindano ya umiseta.Kama atapenda kushindana na timu imara au atapenda kuingia top 4 lazima asajili mabeki wawili mmoja kati na mwingine baki 3.

Lazima asajili kiungo wa kati hili tatizo aliliacha Fergie bado mpaka leo Man haina mchezaji muhimu wa kati.

Mfumo anaotumua LVG si sahihi katika ligi ya uk.

Wachezaji mizigo wengi...LvG akifanya mzaha wa kuchekacheka na Woodward, hakika ataharibu CV yake na aina ya wachezaji waliopo...

Watu waliniponda kumtetea DM mwaka jana...ila pengine sasa nyuso zimewashuka...nilisema kwamba hata SAF atastruggle na wachezaji waliopo..
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Nzi

Hapa man utd wanahitaji kama wachezaji wanne hivi christiano ronaldo,bale,luka modeic na matt hummels.
 
Mdudu Nzi hebu njoo huku utoe update za hii game at least for the first 45 mins, nipo mtaani mpaka half time ndio nitakuwa maskani. Hakuna reporter mzuri hapa JF wa kandanda kila dakika kama wewe brother, at least utaniwezesha kujua yanayojiri katika mchezo wenu wa kufungua msimu.

Arifu, mwenyewe sijaona kipindi cha kwanza cha mechi...nimeona zaidi kipindi cha pili...hivyo siwezi kukupa updates...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Leo yatapigwa majungu mengi mno humu ndani...!! Waacheni Swansea nao waandike historia sio tuu ya kutufunga opening match ila ya kuwa top of the league...

#WMUTW
 
Dah!!! Nimechuuzika mie nilidhani game inaanza saa hizi, kumbe game imemalizika na shetani wekundu kuadhirika, poleni sana Wakuu naona ni muendelezo wa shughuli za MORE NO AKA Moyes.

Nafikiri tunahitaji mtu wa kucommand kwenye back line..experienced one..a leader..mwenye karba ya Vidic..kama tungampata Hummels ingelikua poa sana..timu sio mbaya sana...sema kuna matatizo madogo madogo wa kiufundi nafikiri kocha kayaona...
Nani na Fellain hawafit kwenye timu yetu..mipira ya mwisho ilikua haifiki kwa Rooney..I think it's a right time to finalize Vidal's deal sasa..Januzaj anatakiwa aache utoto kwenye serious games otherwise bring in Di Maria..
#GGMU
 
​Mkuu mie nilidhani game inaanza saa hizi kumbe ilianza mapema.

Back
Top Bottom