Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wachezaji mizigo wengi...LvG akifanya mzaha wa kuchekacheka na Woodward, hakika ataharibu CV yake na aina ya wachezaji waliopo...

Watu waliniponda kumtetea DM mwaka jana...ila pengine sasa nyuso zimewashuka...nilisema kwamba hata SAF atastruggle na wachezaji waliopo..

.....duhhh?!
Yamekua hayo tena?

Hebu kubalini matokeo leo mmezidiwa bana, mbona mliwafunga Real Madrid na Liverpool majuzi tu?


#MosKwito !
 
Mwanzo mbaya...ila siyo ishu...bado naendelea kusisitiza timu ina average players...tatizo siyo kocha..wachezaji mizigo...ngoja LvG apitishe fagio la chuma..

#GGMU

kweli kabisa mkuu,wako wachezaji kibao ambao hawastahili kuwepo old traford,man ina wachezaji wa kawaida sana kwa sasa,pia bado timu yetu ina safu dhaifu sana ya ulinzi,chriss smalling,Phil Jones ni wadogo ila hawaaminiki sana kwasababu wanaandamwa sana na majeraha ya mara kwa Mara hvy tukiwategemea sana bila kufanya usajili wa maana ktk safu yetu ya ulinzi kitatucost sana mbeleni,mtu kama batefimbi gomes niwakuichachafya hvy safu yetu ya ulinzi?
 
Man Utd yaendelea kuvunja rekodi chini ya van Gaal kama ilivyokuwa chini ya Moyes.

Mara ya mwisho Man Utd kufungwa mechi ya kwanza ya Ligi (Old Trafford?) ilikuwa miaka 42 iliyopita.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
LVG kaja kumsaidia Moyes zile history za kuvunja since mwaka gani! Zaidi ya hapo nawapa Man Utd baaazi wakirudi na kuongeza mmoja au wawili watafanya vizuri ila kwa timu Kama Hivyo wataokota sana nyavuni! Poleni kina Belo na Nzi mwambieni Dondonald asijifiche bwana atoke Cave.
 
Wachezaji mizigo wengi...LvG akifanya mzaha wa kuchekacheka na Woodward, hakika ataharibu CV yake na aina ya wachezaji waliopo...

Watu waliniponda kumtetea DM mwaka jana...ila pengine sasa nyuso zimewashuka...nilisema kwamba hata SAF atastruggle na wachezaji waliopo..

Ansante Saaana mdudu [MENTION]Nzi[MENTION] maana kuna watu waliamini ujio wa LvG Utamaliza matatizo yooote ilhali ni ukweli kuwa kikosi kinahitaji kufumuliwa kwa Asilimia kubwa.
 
_76982098_vangaal_pa.jpg

Giggs: Hey old man... things are not looking good today...ooh my god we are loosing....

Luis Van Gaal : Calm down Little man, I want to proceed where Moyes were heading......!!!!!
 
Kuna mhindi mmoja anasema eti ...."Machester United bado iko gonjwa bana"
 
I know people will be Yip-Yupping Shitt About ManUtd After The Game..

But Then Thus Just The
Beggining;We Have Never Had A Good Start To Any BPL So Let's Keep It On!!!!
ManUtd Till I Die ..
⚽️⚽️⚽️⚽️
 
Tokea mwaka 1972 ndio mechi ya kwanza kupoteza mechi ya ufunguzi duuu
 
Mwanzo mbaya...ila siyo ishu...bado naendelea kusisitiza timu ina average players...tatizo siyo kocha..wachezaji mizigo...ngoja LvG apitishe fagio la chuma..

#GGMU

Bado nitaendelea kusema kama nilivyosema msimu uliyopita. Kocha nae anachangia kwa kiasi kikubwa kushinda au kufungwa kwa timu.

Katika mechi ya leo LvG kawapanga baadhi ya wachezaji in their wrong positions ili kucheza system yake only kukuta it was a wrong move kabla ya kubadilisha formation.

Kweli baadhi ya wachezaji ni mzigo, hata Scholes kasemea hilo, but system ya LVG imechangia kwa kiasi kikubwa kufungwa leo.

Well, tuone kama atatumia tena system ya kudefend na mabeki watatu in the Premiership. Nilimshangaa sana.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Back
Top Bottom