Umebanwa h**a nini?
Hahahahahahaha! Van Girl mtamvumilia kweli nyie manure?
Umebanwa h**a nini?
1-1...Captain Wazza
habari ya wewe mkuu..Msikimbie wageni
nilijua utarudi mkisharudisha hahahaha. Preseason iliwalewesha mkadhani ligi itakuwa rahisi.

words ninja...Tatizo wenyeji mlikimbia ndio maana wageni walitawala na kuwasaidia kutoa updates
nilijua utarudi mkisharudisha hahahaha. Preseason iliwalewesha mkadhani ligi itakuwa rahisi.
Huyu kipa bwana..
Balaa...