Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Game half time. Still swansea wanaongoza kwa goli 1. Dk 45 za mwanzo swansea wamecheza kwa displine ya kiwango cha juu. Sijaona mipango kwa united katika game hii. Van Gaal kazi anayo.

Gem bado mkuu tulia watalamba dawa 2 hao
 
Since ametoka Herera timu imekufa kati,tunahitaji kusajili kiungo.Fellaini must go
 
Luisa Van Girl anaelekea kuvunja rekodi nyingine Old Trafford. Swali je atavunja rekodi aliyoweka Mo-yes msimu uliopita?
 
WELCOME TO ENGLISH PREMIER LEAGUE LUIS........................!!!!!!!!

louis-van-gaal1.jpeg


Mnaendeleza mlipoishia......

nilikuwepo......:bump2::rant:
 
Cc ndo ma fans wakubwa wa mun u swansea lazima wakae kivyovyote vile
 
Back
Top Bottom