Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Congratulations to Warren Joyce and his Reserves team for retaining the Manchester Senior Cup with a 4-1 win over City thanks to four goals from James Wilson.
10540389_10152351971732746_2539791132614129481_n.jpg
 
Haya maisha ya soka bwana..
Kipindi cha nyuma nlikuwa naichukia Barca sababu kwangu ilikuwa ndio timu ngumu isiyopigika (kiurahisi) na nina amini wapo waliokuwa wakiichukia Man kwa sababu hiyo hiyo.


Sasa kwao Barca Mambo naona yanawabadilikia (2013/14) na pre season yao imekuwa mbovu..!!

Mapito haya tumeyapitia pia kwa msimu uliopita tukaboronga kweli kweli na kuandika historia nyingii chini ya Moyes....

Haters msipaniki.....
Nina imani heshima pale Old Trafford inarudi kuanzia msimu huu na vikombe vimeanza tena kuonekana kulipamba ghala la Mashetani Wekundu....
****
Cant wait for this season to start...


#GGMU
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
article-2720579-2061D6C400000578-2_964x390.jpg



Summer sale is on at Old Trashford. ... ...
Khe khe keh keh keh kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
10417596_837094972968676_7095221532036216418_n.jpg


//////////////....HABARI KUTOKA Metro na Skysports....///////////////

Juan Cuadrado yupo karibu kutua Man United akitokea Fiorentina

Juan Cuadrado anakaribia kujiunga na klabu ya Manchester United kukiwa na taarifa kuwa wakala wake amesafiri kuelekea England kwa ajili ya kukamilisha deal ilo.

Fiorentina wameendelea kushikilia thamani ya £38m kwa timu itakayomuhitaji huku Man Utd wakiweka mezani ofa ya £32m.
Gazeti kutoka Spain la Marca kwa sasa linasema pande zote mbili zimefika makubaliano ya £36m huku deal likitegemewa kukamilika kwa siku zijazo baada ya Cuadrado kuonesha nia ya kutaka kuondoka.

Cuadrado atakuwa mchezaji wa tatu kusajiliwa na Louis Van Gaal katika majira haya ya joto kufuatia kuwasili kwa Luke Shaw kutoka Southampton na Ander Herrera kutoka Atletico Bilbao.

Rais wa Fiorentina Andrea della Valle jana alisema kuwa, klabu itabidi ikubali ofa kubwa kutoka kwa uyo mkolombia baada ya kujikubali kuwa watashindwa kupigana kumbakisha baada ya kuenea kwa taarifa ya mchezaji kujiunga na Manchester United.

Barcelona pia wanaonekana kumnyemelea kiungo uyo mwenye miaka 26 lakini wamesema hawatofanya haraka mpaka watapomuondoa Dani Alves.
 
Mbona kama umepanic vile hii come back ya man United..huna amani kabisa mkuu

hakuna aliyepanic hapo mkuu. Nashangaa msimu uliopita mlikuwa mnamlaumu(hasa Nzi na Belo ndo walikuwa wanalaumu sana) SAF kwa kuacha timu mbovu, juzi juzi mmeshinda mechi kadhaa za kirafiki mmesahau kuwa timu iliyoachwa na SAF ndo hiyo hiyo mliyonayo hivi sasa tofauti ni hawa wachezaji wawili na kocha mpya tu. Kwa kifupi mmekuwa kama mtoto mdogo aliyekuwa analilia kubebwa na mama yake afu akanyamaza baada ya kupewa pipi au toy. Hivi mkishindwa msimu huu sijui mtamlaumu nani kati ya SAF, Moyes na LVG?

Cc: Belo, Nzi
 
hakuna aliyepanic hapo mkuu. Nashangaa msimu uliopita mlikuwa mnamlaumu(hasa Nzi na Belo ndo walikuwa wanalaumu sana) SAF kwa kuacha timu mbovu, juzi juzi mmeshinda mechi kadhaa za kirafiki mmesahau kuwa timu iliyoachwa na SAF ndo hiyo hiyo mliyonayo hivi sasa tofauti ni hawa wachezaji wawili na kocha mpya tu. Kwa kifupi mmekuwa kama mtoto mdogo aliyekuwa analilia kubebwa na mama yake afu akanyamaza baada ya kupewa pipi au toy. Hivi mkishindwa msimu huu sijui mtamlaumu nani kati ya SAF, Moyes na LVG?

Cc: Belo, Nzi

Mimi ni mmoja wa mashabiki niliyekua napinga kama timu ni mbovu kiasi kile bali ubovu ulikua kwa kocha na nilipiga kelele sana humu jukwani #moyesout
Mkuu mark my words msimu huu lazima turudi kwenye top 4 position..from da body language walionesha wachezaji kwenye pre- season matches wananjaa na determination ya kurudisha heshima with da fear that LVG we never tolerate under performance from any of the player...
Mark my words rubaman
 
Last edited by a moderator:
Pole na rambi rambi wakuu na msiba wa kumpoteza ....... ....... ........ ooops sio rambi rambi Hawadi webu nasikia kaachia kazi ya urefa chacha chijui nani mtaanza kumkabidhi brown envelopes .... ..... ...khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mimi ni mmoja wa mashabiki niliyekua napinga kama timu ni mbovu kiasi kile bali ubovu ulikua kwa kocha na nilipiga kelele sana humu jukwani #moyesout
Mkuu mark my words msimu huu lazima turudi kwenye top 4 position..from da body language walionesha wachezaji kwenye pre- season matches wananjaa na determination ya kurudisha heshima with da fear that LVG we never tolerate under performance from any of the player...
Mark my words rubaman

LOL naona mambo yamebadilika sasa hivi top expectation ni kuwin top 4 trophy, miaka yote mlikuwa mnapiga kelele na kubeza tukimaliza top 4. Anyway, haitakuwa rahisi kama mnavyotarajia. Timu za top 6 zimefanya manunuzi mazuri pia na kuongezea walipoishia. Ukiangalia vizuri timu yenu ni ile ile tofauti itakuwa system ya LVG pia hao wachezaji 2 mlionunua hadi sasa sidhani kama watafanya maajabu.
 
[h=1]Manchester United reach agreement with Juan Cuadrado and 'Super Bale returns home'[/h]
  • Juan Cuadrado and Manchester United have reached an agreement
  • Gareth Bale is returning home to Wales with Real Madrid in Super Cup final
  • Barcelona want more signings after capturing Arsenal's Thomas Vermaelen
By KIERAN GILL
PUBLISHED: 10:19 GMT, 11 August 2014 | UPDATED: 13:30 GMT, 11 August 2014

168shares
2View comments​

Manchester United are edging closer to bringing Juan Cuadrado to Old Trafford after Spanish newspaper Sport say an agreement has been made with the player.
Louis van Gaal is hot on the heels of the Fiorentina winger, but interest from Barcelona created a problem for the £36million-rated Colombian, which the front page acknowledges.
Sport say the future of Dani Alves at the Nou Camp is key to the move on Monday's cover.
CLICK HERE to start picking your Fantasy Football team NOW! There's £60,000 in prizes including £1,000 up for grabs EVERY WEEK!
1407750036056_wps_1_sport_750_jpg.jpg


+5



Sport: The Spanish newspaper report that Juan Cuadrado has reached an agreement with Manchester United

Fellow Spanish newspaper Marca lead on Real Madrid's Gareth Bale heading back to the motherland.
No, not Tottenham. It is in fact the Cardiff City Stadium in Wales where Real Madrid play Sevilla in the Super Cup final.
Marca's headline - 'Super Bale returns home' - is accompanied by bullet points, which remind readers:
- The Welshman arrives like a bull to his third final with Madrid
- He has gained muscle bulk and explosiveness in pre-season
- Top scorer in the summer for Los Blancos
- His goals were decisive in the last two finals. Now he wants to be a prophet on his home turf


 
[h=1]Manchester United AXE Javier Hernandez, Marouane Fellaini, Wilfried Zaha, Will Keane Nani, Anderson, and Rafael but Shinji Kagawa is set to stay[/h]
  • Rafael, Marouane Fellaini, Nani, Anderson and Javier Hernandez told by Louis van Gaal they have no future at Manchester United
  • Man Utd boss Van Gaal met the players individually to break news
  • But Shinji Kagawa told he can stay at Old Trafford
  • Midfielder only third choice behind Juan Mata and Ander Herrera
1407707462287_wps_1_IMAGE_DISTRIBUTED_FOR_GUI.jpg
 
Back
Top Bottom