Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mshambuliaji si mmemnunua Lambert, au hafai? kama vp mrudisheni Caroll

Kwani Gerald alipofunga penalty hamkufurahi?

Fletcher alificha mido za liverpool lol, nitakuwa mtovu wa adabu kama nikimzungumzia Herrera alichokuwa anafanya leo

Hizi mbwembwe zenu za kinazi ndo huwa zinawakosti! Hongereni anyway,mmeshinda mechi dhidi ya timu bora ndo mana mnabweka sana,lol!
 
Wayne keshatupia hapo

2C8613D1427B412EAE8E4495698F1ACE.ashx.jpg
2C8613D1427B412EAE8E4495698F1ACE.ashx
2C8613D1427B412EAE8E4495698F1ACE.ashx
 
Timu imemaliza mechi zake za pre season bila ya kufungwa, watu wakisema inakuwa ni mbwembwe?

Mwenzako analalamika hamna wafungaji

Hii inaonyesha ni jinsi gani maji yalivyowafikia shingoni... Mmekuwa kama Romario anayehesabu hadi magoli ya kirafiki. Kombe la kirafiki na magoli ya kirafiki hayahesabiki..
 
LOL mnalihesabu hili nalo... mlikuwa mnacheka Arsenal kubeba Emirates leo mnashangilia kombe la kirafiki.Hahahaha ama kweli dunia ina mambo.

Mkuu kumbe hata kwenye mashindano ya kirafiki timu zinataka kumpiga refa?

Tatizo la hiyo timu inayochukuaga kombe la Emirates "wanalochezeaga Home", kombe hilo ndio linalokuwa mwokozi

Sisi tumesema la kwanza hilo, umeona tofauti hapo?
 
kiboko cha big four -the bluees, nyie wote(Man, liver, aser,city) mtaendelea wateja wetu mpaka mourinho atakapoondoka.
 
Mkuu kumbe hata kwenye mashindano ya kirafiki timu zinataka kumpiga refa?

Tatizo la hiyo timu inayochukuaga kombe la Emirates "wanalochezeaga Home", kombe hilo ndio linalokuwa mwokozi

Sisi tumesema la kwanza hilo, umeona tofauti hapo?

LOL hakuna aliyetaka kumdunda refa jana... watu walipoint out refa kakosea tu. Afu hilo kombe la Emirates hatujalibeba mwaka wa 4 huu, hatulipi msisitizo ni la kuwapa watoto nafasi ya kucheza maana muda si mrefu wanakwenda on loan. Vile vile kumbuka ni kombe linalogombaniwa ndani ya siku 2 au 3 sio kama hili mlilolitolea jasho toka West coast to Mid-west to Down south. Itakuwa kina Rooney hawalali usiku bila mawazo kwamba watapewa namba na mbabe wa kiHollanzi.
 
Kombe la Emirates kusema ukweli hata Crystal Palace wanaweza kuchukua, usifananishe na mashindano yaliokuwa yanashirikisha Timu Kubwa, ambayo Bingwa kapatikana leo
i
 
  • Thanks
Reactions: Nzi

Man u itakamata nafasi ya 7 mwaka huu maana hamna depth pale kabisa!Waliocheza ndiyo hao hao bora!

Origi;Lallana;Enrique;Manquillo;Markovic;Lovren;Flano;Stur na Moreno wote wapo nje leo na inakuonyeaha hapo jinsi Liverpool ilivyo mwaka huu!

Man U ikicheza hivi mechi ya kwanza hata na Aston Villa basi Benteke ataondoka na mpira wake kwa hat trick
 
Last edited by a moderator:
Kombe la Emirates kusema ukweli hata Crystal Palace wanaweza kuchukua, usifananishe na mashindano yaliokuwa yanashirikisha Timu Kubwa, ambayo Bingwa kapatikana leo
i

Hongereni au hongera zenu kwa kubeba Kombe la ICC lisilotambuliwa na Fifa . Ebana Emirates hata timu ya Confirance ikiarikwa inaweza kulibeba endapo itashinda kama vile hilo la ICC
 
Back
Top Bottom