Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hiki.ni kipimo kizuri sana ktk hii Pre seasonal...
Two team from Italy
One team from spain
One team from UK
and Now Kateam from England...
Tungepata team pia from german kama BUYERN ingekuwaaaa poa sanaa.....

GGMU
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Hata season iliyoisha 2013/14 MBONA MLIKUWA MABINGWA!AU MMESAHAU LILE TANGAZO LENU?...... Bingwa,MAN U BINGWA.
 
KUWENI WAPOLE

KWANINI MAN UTD NI BINGWA MSIMU 2014/15

1. LUI VAN GAAL NI "QUICK LEARNER"

✔ Van Gaal Ameshinda kombe katika misimu yake ya kwanza "ubingwa wa ligi" katika club zote nne alizofundisha , ana record ya mabadiliko ya haraka na mafanikio ndani ya muda mfupi katika timu zote nne, Alifanya Ajax, aliirudisha Barc juu, akiwa Az Alkmaar 2005/06 aliirudsha juu na akawa weka record ya kumaliza ligi akiwa na point nyng zaid ndan ya miaka 25, hakuishia hapo tu Munich na penyewe alifanya lile lile, anauwezo wa kusoma na kutambua uwezo wa wapinzan mapema na kufanya maamuz sahihi

2. HATUSHIRIKI MICHUANO YA BARA LA ULAYA

✔ Msimu ulioisha tulimaliza nafas ya 7 xo hatutoweza kushiriki UEFA wala EUROPA, kwa biashara tutaathirika kias flan but kwa upande mwingine hii n kama baraka ndani ya mkosi, timu haitosafiri sana, itakua na gemu 1 kwa wiki, hatutokua na majeruh ya mara kwa mara hope Rooney na RVP wakisaidiwa na wakali kama kina Mata Adnan na wenzao watakua na mda wa kutosha kujiaanda kuwatafuna wapinzan, hatuhitaji kikos kikuubwa kwaajil ya Rotation or wat , we need a smaller group with a more settled team--Road to succes, tutakua na advantage kama liverpool waliyokua nayo msimu uliopita

3. HATUNA CHA KUSUBIRI, EPL N MALI HALALI YA MAN UTD

✔ Tokea EPL ianze Inamiaka 22, Man utd ni bingwa wa EPL mara 13, xo 22-13= 9, hyo mara 9 zimeganawana club kama 5 hv, sina kumbu kumbu vzur but sijui kama ndan ya miaka 10 iliyopita tumewah kukaa zaid ya musimu 2 bila ubingwa wa ligi na kama imetokea kukaa misimu 2 mfululizo bas n mara 1 tu, tuna kila sababu ya kurudsha kikombe nyumban , nakumbuka ile ya arsenal+ Chelsea na mikokoten ya hela

4. MWANZO MPYA NA SURA MPYA

✔ Uzao mpya wa man utd [Re-birth of man utd] knowledge and experience( LVG& CLASS OF 92. Yes, we gat it all. Tuna Giggs na wenzie pale, Tuna Van Gaal muumin wa vijana wadogo kocha mwenye kipaji cha kipekee, mkumbuke tuna watoto 6 from Man utd academy wako kule kwa obama na wote wana uwezo---Road to succes

5. BURUDANI
man utd ain't just want to be succesfull, we want to win with stlye, kwa ambao mmefanikiwa kuona yanayotokea pale USA mtakubaliana na mm katika hili, kinachofanya na man utd n zaid ya burudan, intermilan imewapata kisawa sawa hii

6. POST WOLRD CUP IS PEAK TIME
tuna zali na WC, baada ya WC kama 4,,5 hv zilizopita msimu unaofuata man utd ilimaliza kilelen

Siku zote mpira hauchezwi kinywani ingawa kuna "mind games" kitu nilichojifunza kwenu mashabiki wa Manutd mnajua sana kuongea kama wanasiasa wa bongo! Ndiyo maana unaona hata soka letu halipigi hatua kutokana na hizi porojo kwenye media kuisifia timu yetu ya tiafa na vilabu! Manutd mnasafari ndefu bado ingawa mnakocha mwenye kujua anafanya nini. Kuna Mtu anaitwa Jose Mourinho pale darajani!

Hiki.ni kipimo kizuri sana ktk hii Pre seasonal...
Two team from Italy
One team from spain
One team from UK
and Now Kateam from England...
Tungepata team pia from german kama BUYERN ingekuwaaaa poa sanaa.....

GGMU

Ndoto kama hizi ndo ziliwafanya muwe saba saba. Yaani chama langu Liverpoolfc ndo ka team ka England. Hivi kwenye msimu uliopita mliwafunga ngapi?
 
So far LVG inaonekana ameshapata kikosi chake cha kwanza,kwa system ya 3-5-2/3-4-1-2
Nyuma watacheza mabeki watatu ambao ni Evans,Jones na Smalling(Keane)
Valencia atacheza right wing back (Rafael)&Young atacheza left wing back( Shaw) na viungo ni Herera & Fletcher( Cleverley,Carick).Mata(Kagawa/Januzaj) atacheza kiungo mshambuliaji nyuma ya Rooney na RVP( Wellbeck,Chicharito).Ujio wa kocha umefufua viwango vya wachezaji kama Young,Fletcher na Cleverley.Naamini msimu huu Herera,Fletcher,Mata watakuwa wachezaji muhimu sana kwenye timu

Still tunahitaji CB ambaye anatumia mguu wa kushoto(Vermalen), ambae pia atakuwa anamsaidia Shaw. Evans,Jones,Smalling ni injury prone,Pia tunahitaji kiungo mkabaji Carick ameumia na Fletcher sio wa kucheza dakika 90 (back up amebaki kimeo Cleverley),Bado Anderson na Nani wanapaswa kuuzwa
 
Mlipomfunga Benfica, hamkuwa mmekwenda uwajani kutembea kama siku ile mlipofungwa na NY Red Bulls? {Kama ulivyosema mwenyewe}

Jana hatukuchezesha chekechea kama vs NY Red Bulls isitoshe hatukuwa katika marketing promotion. Tulichezesha almost first eleven itakayotoa dozi za farasi kwa binadamu.Msimu ujao Arsenal wakija Marekani utaona matusi yatakavyokuwa.
cc Nzi RRONDO

Benfica watakuwa wameisha sana mpaka Sanogo anafunga goli, achilia magoli

Hata Bendtner angefunga siku hiyo inaonyesha

LOL unamcheka Sanogo leo kesho mtakuwa mtajuta kwa nini hamna scouts wakali kama alionao Wenger. Kiunazi zaidi Sanogo atavunja rekodi ya magoli ya Welbeck. Hahahaha
 
LOL unamcheka Sanogo leo kesho mtakuwa mtajuta kwa nini hamna scouts wakali kama alionao Wenger. Kiunazi zaidi Sanogo atavunja rekodi ya magoli ya Welbeck. Hahahaha

Hao mliowapiga 5-1 leo wamekoswa koswa kama saba hivi hatimae wakaponea na hizo 3-1 kwa Valencia... Arsenal leo naona mmeshaumia na mpira sekunde chache zijazo unaisha...
Ni Mechi moja tuu unaongea hivyo??? duuh
 
Mlipomfunga Benfica, hamkuwa mmekwenda uwajani kutembea kama siku ile mlipofungwa na NY Red Bulls? {Kama ulivyosema mwenyewe}

cc Nzi RRONDO

Hao mliowapiga 5-1 leo wamekoswa koswa kama saba hivi hatimae wakaponea na hizo 3-1 kwa Valencia... Arsenal leo naona mmeshaumia na mpira sekunde chache zijazo unaisha...
Ni Mechi moja tuu unaongea hivyo??? duuh

Leo Sanogo hajacheza. Ulitegemea nini?
 
Siku zote mpira hauchezwi kinywani ingawa kuna "mind games" kitu nilichojifunza kwenu mashabiki wa Manutd mnajua sana kuongea kama wanasiasa wa bongo! Ndiyo maana unaona hata soka letu halipigi hatua kutokana na hizi porojo kwenye media kuisifia timu yetu ya tiafa na vilabu! Manutd mnasafari ndefu bado ingawa mnakocha mwenye kujua anafanya nini. Kuna Mtu anaitwa Jose Mourinho pale darajani!

ok, tunasafar ndefu,, Chelsea 0-3 Werder Bremen,, Man utd 3-1 madrid, yupi mwenye safar ndefu hapo
 
Ukiona hivyo ujue wana frustrations ndo maana kocha wao anakamia hata mechi za kirafiki hakuna wholesale substitution kama timu zingine....

Tumemfunga La Galaxy kwa kutumia vkos viwil, Inter viwili, Roma Viwil, nakua sikuelw
 
Siku zote mpira hauchezwi kinywani ingawa kuna "mind games" kitu nilichojifunza kwenu mashabiki wa Manutd mnajua sana kuongea kama wanasiasa wa bongo! Ndiyo maana unaona hata soka letu halipigi hatua kutokana na hizi porojo kwenye media kuisifia timu yetu ya tiafa na vilabu! Manutd mnasafari ndefu bado ingawa mnakocha mwenye kujua anafanya nini. Kuna Mtu anaitwa Jose Mourinho pale darajani!

Kweli yupo darajani ila leo kashindwa kuvuka au ndo utasema kazi ya daraja kuvusha??
 
Back
Top Bottom